Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015


Maneno yako kama ni kweli ndiyoo maana soka la kusini haliendelei. Tujifunze nchi za wenzetu zilizopiga hatua kisoka, unakuta mtu anachezea Everton lakini ni mshabiki damu wa Man U.
Lakini linapokuja suala la dimbani lazima Man U itoke jasho, maana kwa wakati huo mwajiri wake ni timu aliyopo.
 
Wee mkia Amavubi mbona umeandika kishabiki hivyo?
Leo huko uwanjani miguu itakuwa mizitooo, hata kuinuka utashindwa. Maana hawa wetu na tunawamudu hasa, magoli na si goli.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko.
 
Last edited by a moderator:
Muulize Azam kilichomkuta

Mpira hauchezwi kwa cross multiplication: Kagera Sugar iliifunga Simba na Ndanda ikaifunga Kagera, sasa mbona Simba iliifunga Ndanda? Kwa mahesabu hayo, Ndanda ilitakiwa iichakaze vibaya SSC.

Subiri kifo kibaya cha hao wamachinga.
 
Ndanda kumfunga yanga ni sawa na kusema eti UKAWA watashinda Uraisi wa TZ
 

Mbona huu utangulizi unatukashifu wana yanga ungetuachia wenyewe tuanzishe uzi wetu ..cc sio yeboyebo
 
leo TBC wapo songea ko matukio yote ya uwanja wa taifa ni hapa hapa jamvini.
 
Kikosi cha yanga kinachoanza leo taifa; 1. Ally Mustafa Barthez 2. Juma Abdul 3. Osca Joshua 4. Rajabu zahir 5.Nadir haroub 6.Salumu telela 7.Simon msuva 8.Hassan dilunga 9.Kpah sherman 10.Mrisho ngassa 11.Danny mrwanda. Sub- tambwe, coutinho, juma makapu,
 
Simon Msuva anakosa goli la wazi yeye na golikipa wa ndanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…