Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

Mkolaj tunakusubiri utangaze goli la kwanza tuendelee na mengine.
 
Ni kazi gani hiyo,
acha kuleta migogoro jangwani migogoro huko huko kwenu msimbazi.

Achana nao hao, roho zinawanyongorota hao. Wanajua Msuva ni mchezaji mzuri na kachagua chama kubwa Yanga dhidi yao.
Watamuona uwanjani, hapa na kumsoma kwenye magazeti mikia wote.
 
Ndanda wamekuja wenyewe au na zana zao? ila wataachia tu.
 
Mbona mnawachelewesha hao ndanda,
wachapeni haraka.
 
Naona mnacheka na nyani watani, ngoja Ndanda waamke
 
HALF TIME:

Yanga 0 - Ndanda FC 0.

Kipindi cha pili Yanga itatupa raha, ligi ngumu lakini tutailainisha.
 
HALF TIME:

Yanga 0 - Ndanda FC 0.

Kipindi cha pili Yanga itatupa raha, ligi ngumu lakini tutailainisha.

Hawa laini tu wakiambiwa gesi haitoki mtwara basi wataachia taratiiibu.
 
Ni kazi gani hiyo,
acha kuleta migogoro jangwani migogoro huko huko kwenu msimbazi.

Kwani huoni anapobaki yeye na kipa anafanya nini? Hiyo ndo kazi tuliyomtuma.
 
yanga wanatatizo hawajui counter attack wanaenda taratibu wakati counter unaenda kasi ili kuwe na mabeki wachache pia tatizo linguine ni kupiga cros za polepole zinazodakwa au kuzuiwa na mabeki kirahisi cross inatakiwa kama shuti mtu hawezi kuihandle kirahisi
 
jaman ndanda wapo vizur yeboyebo mbona wanakimbizwa sna
 
Back
Top Bottom