Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

yanga wanatatizo hawajui counter attack wanaenda taratibu wakati counter unaenda kasi ili kuwe na mabeki wachache pia tatizo linguine ni kupiga cros za polepole zinazodakwa au kuzuiwa na mabeki kirahisi cross inatakiwa kama shuti mtu hawezi kuihandle kirahisi

Ndio uwezo umefika mwisho
 
Usijali mkuu Amavubi,
Mimi nitareport goli la kwanza la yanga litakalofungwa ndani ya dakika 10 za mwanzo za kipindi cha kwanza, baada ya hapo nitawaachia kijiti wenzangu aakina Makoye matale, Bantulady, NGANU, na yahoo waendelee kuripoti magoli mengine kuanzia goli la pili hadi la tano.

Ngapi ngapi mpaka sasa??
 
HALF TIME:

Yanga 0 - Ndanda FC 0.

Kipindi cha pili Yanga itatupa raha, ligi ngumu lakini tutailainisha.
Hamna timu nyie, kazi kuongea tu. Washambuliaji watatu wapya wameongezeka ndani ya dakika 45 hakuna bao la kuotea.
 
Kipindi cha pili kinaanza, yanga 0-0 ndanda.
 
Dk 1 kipindi cha pili Barthez amekoswa koswa, ametoa nje ni kona kuelekea Yanga. Daah
 
Serunkuuma anagoli 3 leo . Vip Tambwe na Mliberia kwa pamoha wanagoli ngap???????
 
Hamna timu nyie, kazi kuongea tu. Washambuliaji watatu wapya wameongezeka ndani ya dakika 45 hakuna bao la kuotea.

Kama kuongea kunafanya timu kuwa nafasi nzuri, ongeeni nanyinyi maana mlipo mmmh!!!
 
Back
Top Bottom