Simon Msuva anakosa goli la wazi yeye na golikipa wa ndanda.
kikosi cha ushindi kabisa hiki....Kikosi cha yanga kinachoanza leo taifa; 1. Ally Mustafa Barthez 2. Juma Abdul 3. Osca Joshua 4. Rajabu zahir 5.Nadir haroub 6.Salumu telela 7.Simon msuva 8.Hassan dilunga 9.Kpah sherman 10.Mrisho ngassa 11.Danny mrwanda. Sub- tambwe, coutinho, juma makapu,
Mbona huu utangulizi unatukashifu wana yanga ungetuachia wenyewe tuanzishe uzi wetu ..cc sio yeboyebo
Simon Msuva anakosa goli la wazi yeye na golikipa wa ndanda.
View attachment 223300yeboyebo
vs
View attachment 223301wana kuchele
Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC
Kama kawa naelekea uwanjani...........
Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye Matale (leo siyo Sabato), yahoo etc chukueni jahazi la kutuarifu yanayojiri .............
Ehee leteni updates,leo n itakuwa bize na simu hata kama mchepuko wangu ukimaindi
Ndanda Timu nipeni raha.
Hayo maneno tu ya mdomoni lakin rohoni unajua nini kitakachowakuta wamakonde wa mtwara, FT Yanga 5-0 Ndanda.
huo mchepuko utakuwa si shabiki wa yanga huo...piga chini!mkuu hata mimi nipo na mchepuko wangu leo ila akili yote iko jukwaa la michezo, ngoma inagoma kuinuka for second round mpaka Yanga washinde
Uwepo wa timu iitwayo Simba: nimejikuta namchukia hata huyu mnyama asiye na hatia. Wenye elimu ya ushauri, tafadhali naomba ushauri nasaha.
Hivi mpaka kuishabikia yanga unakua umekosa nini katika huu ulimwengu wa soka.?au ndo malezi mabaya.??
Narudia tena msuva ni kijana wetu, yupo kandambili kwa kazi maalumu.
Narudia tena msuva ni kijana wetu, yupo kandambili kwa kazi maalumu.
Mpira hauchezwi kwa cross multiplication: Kagera Sugar iliifunga Simba na Ndanda ikaifunga Kagera, sasa mbona Simba iliifunga Ndanda? Kwa mahesabu hayo, Ndanda ilitakiwa iichakaze vibaya SSC.
Subiri kifo kibaya cha hao wamachinga.