Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

Hii picha ipelekwe Kwa mkemia mkuu ili tujue kama ni bint kidoti kweli
 
Huyo bodyguard kama anataka amwahi vile.
 
wazungu huwanga hawashangaagi watu na hawanaga habar na mtu but hao wanyuma wana mshangaa huyo aliyeweka rasta kwa kutumia nywele zinazotoka kwaoo, na ile nanliu ya manzese darajani palee

√√Alikiba√√
 
N kawaida sana
 
Kitu msichokijua ni kuwa Jokate alizaliwa Washngton DC Huko US ndio akaja kuishi TZ
 
Alikataliwa kupiga picha na Jay z amri ilitoka kwa beyonce!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…