Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

we si umeona Jay anasalimiana nae kama wana juwana!....pia ingekuwa ni joket anasha post sehemu kibao....ni mtu tu kafanana nae wabongo tumempa Kick kick
tehe tehe tehe nenda kwenye page ya jokate insta labda ukiona picha nyingi ndio utajua ni yeye kweli
 
Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
Hebu ulizia bei ya hivyo vitu walivyovaa thamani yake unaeza ukauza hio nyumba yenu ya urisi? Halafu Ujue mwenzio ni mwanamitindo wewe endelea kuvaa Madera tu
 
Hebu ulizia bei ya hivyo vitu walivyovaa thamani yake unaeza ukauza hio nyumba yenu ya urisi? Halafu Ujue mwenzio ni mwanamitindo wewe endelea kuvaa Madera tu
Yes ndo maana hapo juu nkaweka hizo picha za bei mkuu watz tunarahisisha vitu tuzivovijua ukwel wake kama mtu hujui ukwel bora ukae kimya
Hizi ndizo bei
 

Hichi kidemu cha kibongo kinapenda kushoboka mpaka hako katoto kanashangaa
 
Mkanyeni huyo Jay Z asimshobokee mke wa king kibakuli,fans wa king wakimuanzishia mvua ya matusi hataweza kupona!...kama anabisha awaulize WCB
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupiga tu hiyo picha ndio kapeperusha bendera.
Tanzania kila kitu tuko nyuma, ila Jokate ameona isiwe tabu ajitoe ufahamu ashoboke ili aipeperushe bendera ya Tanzania, anastahili mapokezi makubwa uwanja wa Taifa
 
Jay Z namfahamu na huwa nasikiliza mziki wake. Huyo mwingine mnayemzungumzia ni nani?
 
Nashangaa Diamond kufika tu Gabon kapewa hadi bendera ya taifa,lakini Joketi kafika hadi marekani lakini hajapewa bendera na waziri kisa yuko karibu na king kiba,huu uteam naona sasa umeingia hadi kwa viongozi wakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…