Livingston Lusinde: Bashiru Ally alipaswa kuwa chawa mkuu sababu Ubunge wake unatoka Ikulu

Duh...!.
P
 
Anajitambua na ubunge amepewa kwa mujibu wa sheria.

Cc team Bashiru....hatupigi goti kwa Nebukadreza ng'o😂
 
Kwahiyo lengo siyo kutumikia wananchi ni kuwa chawa wa mtawala
 
Inawezekana wengi hawamfahamu vizuri Dr. Bashiru.
Binafsi kwa muda mfupi niliowahi kumfahamu, naamini ni kiongozi anayependa ukweli. Muhimu ni kuzungumza ukweli huo kwa staha na ndicho alichosisitiza wakati wote akiwa katibu!
 
Bashiru atakumbuka kitabu kilichoandikwa kheri yangu mimi sijasema
 
Hawa ndio wabunge wa Tanzania, unategemea , Wamkomboe Mtanzania !!!

Ndio maana JPM anabaki kua Bora kabisa, kuendesha jeshi la mtu Mmoja .

Sasa hivi, K.M Kichwa maji, bungen Nako unakuta mabichwa maji.

Yanachowaza ni matumbo Yao na Biashara zao ziende vizuri
 
Dah! Maneno ya dharau kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…