Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Lusinde ni mbunge asiye na akili.Ikulu ni ya watanzania si ya wateule wa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pasco, mbona unashangaa? Hujui aina ya watu Kama Lusinde?Duh...!.
P
Halafu kuna watu wanashangaa kwanini Tanzania ni maskini, hivi! Tutaachaje kuwa maskini, na umaskini utatuandama mpaka siku Wananchi wote tukiongea lugha moja kuhusu ufisadi wa CCM.Kwa wabunge kama huyu, Tanzania bado tuna safari ndefu.
"Kwenye dini tunafundishwa kushukuru. Yeye (Dkt Bashiru Ally) alipaswa kuwa chawa mkuu sababu Ubunge wake unatoka Ikulu (kuteuliwa). Mtu ambaye ugali wake unatokana na Ikulu, anakerekage Ikulu kusifiwa. Kama anakereka ... basi apishe." - Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde
Kwahiyo lengo siyo kutumikia wananchi ni kuwa chawa wa mtawala
Pamoja na hayo, je Ofisi ya Rais na Rais hawajafanya chochote? Kama kipo, kuna ubaya gani kuki-acknowledge?Kwa hiyo mbunge wa kuteliwa ni kwa maslahi ya rais, na siyo nchi..........rais anamlipa kwa pesa zake za mfukoni.....kuwa na wabunge dizaini hii ni moja ya hasara zinazolikumba taifa hili.
Si ungelala na lusinde tu maana utachoka kusimama naeNasimama na Lusinde.
Ccm ni [emoji117][emoji90] ukimwonq baba yako au mama yako wanakwenda kupigia kura ccm ujue kabisa bila shaka yoyote kuwa ni WAPUMBAVU ...ILA KUNA TOFAUTI KUWA CCM NA KUPIGIA KURA CCM ...mfano mm nilimpigia kula JPM Ila siwezi kupigia kula chama cha ccm maana mm nachagua mtu siyo chama .pia naamini katika kupandikiza watu bora ndani ya ccm ,ni njia mojawapo ya kimapinduzi ya kuwa sambaratisha wahuni walio ndani ya ccm ambao kiongozi wao mmojawapo ni FISADI ROSTAMKumbe hatuna wawakilishi na wafanya kazi wa umma Bali tuna chawa wadogo, chawa wakubwa, kunguni, viroboto, kupe, na papasi?
Wewe ukiki-acknowledge haitoshi?Pamoja na hayo, je Ofisi ya Rais na Rais hawajafanya chochote? Kama kipo, kuna ubaya gani kuki-acknowledge?
Wacha kujidanganya team SA100 inakwenda kuanguka bado kidogo tu. Sa100 kashindwa Kupigana vita na marehemu.Bashiru atakumbuka kitabu kilichoandikwa kheri yangu mimi sijasema
Yaani nilikuwa naongelea hali ile ya kuwa upande mmoja ule wa kukosoa tu na bila ku-acknowlegdge mazuri. Ukikosoa bila kukiri uwepo wa mazuri maana yake ni kwamba hakuna mazuri ambayo yapo.Wewe ukiki-acknowledge haitoshi?