Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.


Nimekupata vema
 
Tatizo skuizi vijana wa skuizi kujichanganya na mishe mishe kama hizo,ni ngumu kwasababu elimu zetu zimetutengenezea status, status ya kujishtukia kila sehemu unapo taka kujikana na kupambana lazima ukutane na classmates wako,so kuna hali flani ya woga wa kusengenywa vibaya,lakini zamani ilikuwa rahisi MTU kujichetua na kupambana eneo flani kisha akarudi kijijini alikozaliwa na surprise
 

Huo utajiri wake aliupataje? Pengine kwa kuwa mwanachama wa CCM kwa kuwa nasikia chama hicho kinagawa utajiri kwa wafuasi wake.
 
Ambacho hajakisema ni kwamba yeye ni "Mtaalam wa Anga za Mbali" kule Mtera...ndo maana hakuna mtu anagusa fomu ya Ubunge kule, vinginevyo atakugeuza msukule wa kufua umeme nyumbani kwake!
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
...Vema, je hao la saba wenzake kuna lolote la kujivunia kawafanyia?
 
[emoji106] [emoji106] Very well said Mkuu..
 
Kibajaji hakupambana na Malechela, bali walichuana katika kura za maoni wakiwa wote wapo CCM na kwa fitina za kina Makamba (akiwa katibu mkuu na pembeni Lowassa) wakaamua kumchinjia baharini ili asije akatia zengwe huko mbele ya safari ya matumaini.

Na pale Morogoro kwenye mkutano wa Kampeni ya 2015 mzee Makamba akamtosa Lowasa na kumgaragaza kabisa Sumaye.
 
Hili ni fundisho kwa walimu na wakuza mtaala, watoto wetu wanahitimu na wanatafuta ajira, you, be creative, you can be rich, global wise all of us we are after money!!!!!
 
....Ningekuelewa kama walau ungetuambia mchango wake bungeni kwenye kutunga sheria za kuwasaidia watanzania maskini....unfortunately inaongelea kusifia upumbavu usio na faida yoyote...unadiriki kufurahia eti kamfunika Zitto!!! ....sijui huu upimbi mtaacha lini...
 
Paskali, unashangaa kutoka kuwa muuza kahawa hadi kuwa mtunga sheria kwa Tanzania yetu hii ya mihemko? Umekuwaje kaka? Hujui kuwa makosa ya Chigwemisye katika jamii ya wagogo ndiyo yaliyo mpa nafasi kibajaji?
Nikama makosa ya ugomvi wa Shushushu na Edo yalivyo mpa mzee wetu nafasi.
Labda ungetupa hoja ya maana aliyowahi kuitoa kibajaji bungeni kama mtunga sheria ndio tungeweza kuona jinsi gani mtu asiye na elimu ameonyesha IQ ya hali ya juu pamoja na elimu ndogo na sii ubwabwajaji aufanyao kiasi cha kudhalilisha kazi ile
 
Mkuu Chakaza, bandiko hili sizungumzii kuhusu Kibajaji, amechangia nini bungeni!, hapa nazungumzia mafanikio ya mtu from zero to hero!. Mtu ni drop out wa STD III, akaoa mke drop out wa STD IV lakini leo ni mbunge, ni tajiri, mwenye majumba, magari ya kifahari!, hapo tuu mbona mimi mwenzenu naona kuna kitu!, mtu wa aina hii sio mjinga, ni kichwa sana!. Ndio maana hata katika ile ishue ya Bashite kufeli darasa la 7, akafoji na kujiunga na Pamba sekondari ni akili!, baada ya kumaliza form IV na kupata zero, akafoji vyeti vya mtu aliyefaulu na kujiendeleza hadi kuhitimu chuo kikuu!. Just imagine mtu alipata zero, lakini kaingia darasani na kuhitimu, ni uthibitisho mtu wa namna hiyo ni kichwa!. Amini usiamini, mambo yote Makonda anayoyafanya Dar, anaweza kwa sababu ya maisha aliopitia!, angekuwa ni msomi wa kupasua mwanzo mwiso kama walivyo wasomi wengi, na yeye angekaa ofisini na kula kiyoyozi!.

Kibajaji anatoa soma kubwa la elimu maisha vs elimu makaratasi, huu ni uthibtisho kuwa Tanzania tuna vichwa sana, vimeishia darasa la saba kwa matatizo ya maisha na umasikini uliotopea, lakini wanafanya mambo makubwa kuliko wasomi wenye elimu ya makaratasi!.

P.
 
Tatizo lake kubwa amesahau alipotoka kiukweli mpenda haki yyote yule Awezi kuwa CCM dhiki na matatizo yote chanzo CCM lkn kwake yy CCM kwanza hlf ndio raia na utanzania unafataka...
 
Mali zenyewe zimepatikana kwa mfumo wa chukua chako mapema bado zinalindwa na mfumo huo pia Pascal kaka yngu usiniangushe kwa ili mbona kila kitu kipo wazi utaki tu kuona au kutazama vzuri...
 
Mianzo yenye miale iliyotokana na cheche za upendo, haiwezi kiacha kichaka kikavu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…