Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #101
Mkuu desertfox, sijampamba kuwa anauwezo mkubwa, bali huo ndio ukweli wenyewe, ana uwezo mkubwa!.Sasa pascal hiyo ni historia ya maisha mbn umempamba ata ana uwezo mkubwa me nlijua utaongelea national issues kujenga hoja au vitu constructive
Kuwa na uwezo mkubwa ni one thing na kuzungumzia national issues ni jambo jingine. Uwezo wake mkubwa ni uwezo wa kujenga hoja na kuitetea, hata hoja yake kuu katika bandiko hili, hoja ya elimu ya maisha vs elimu ya makaratasi, no hoja ya msingi sana. Kule bungeni nawafahamu wabunge watatu wa darasa la 7, Musukuma, Prof. Maji Marefu na Kibajaji, na wote ni ma genius fulani. Kama tungetake some efforts to tap their ability na kuzitengenezea mtaala wa alternative education, tungesaidia wengi, kuliko hizi elimu za makaratasi.
P