Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Sasa pascal hiyo ni historia ya maisha mbn umempamba ata ana uwezo mkubwa me nlijua utaongelea national issues kujenga hoja au vitu constructive
Mkuu desertfox, sijampamba kuwa anauwezo mkubwa, bali huo ndio ukweli wenyewe, ana uwezo mkubwa!.

Kuwa na uwezo mkubwa ni one thing na kuzungumzia national issues ni jambo jingine. Uwezo wake mkubwa ni uwezo wa kujenga hoja na kuitetea, hata hoja yake kuu katika bandiko hili, hoja ya elimu ya maisha vs elimu ya makaratasi, no hoja ya msingi sana. Kule bungeni nawafahamu wabunge watatu wa darasa la 7, Musukuma, Prof. Maji Marefu na Kibajaji, na wote ni ma genius fulani. Kama tungetake some efforts to tap their ability na kuzitengenezea mtaala wa alternative education, tungesaidia wengi, kuliko hizi elimu za makaratasi.
P
 
Paskali huyo jamaa anao ufahamu wa kujitambua,umaarufu wao ni kupitia kinga ya chama cha majambazi na polisi. Lakini sioni akili unazo zi elevate hapa. What is soo unique about him you are trying to tell us? What makes you think he is unique?! Kama unaandika biography yake andika ukweli acha kusifia.
Andika biography yake utuachie sisi tutoe sifa, lakini wewe umeandika sifa siyo wasifu wake.
It seems what amazes you ni darasa lake la tatu, au ni ubunge wake?!
 
Hahahahaha lol! Hiki kinywaji ulichokunywa jana usikiguse tena.
Jana nimenunua ile chupa kubwa ya John Walker Black Label pale kwa Octar, pembeni ya ubalozi wa Ufaransa, kwa sababu pale sio kijiwe changu, ili nisije kuuziwa famba, nikahakikisha ndio yenyewe kwa kufanya authentic test kwa kibiriti, unageuza nyuma glasi juu chini, unamimina kwenye glasi kisha unapiga kibiriti, utaona colorless flames, ikizungusha zungusha, utaona bluish kwa mbali na raibow colors due to refraction of light, hivyo ndio yenyewe haswa, halisi!.
P.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yeye na Msukuma wapewe wizara ya Elimu waiongoze kuliko Profesa Ndalichako kama alivyoshauri Mlinga.
 
Paskali huyo jamaa anao ufahamu wa kujitambua,umaarufu wao ni kupitia kinga ya chama cha majambazi na polisi. Lakini sioni akili unazo zi elevate hapa. What is soo unique about him you are trying to tell us? What makes you think he is unique?! Kama unaandika biography yake andika ukweli acha kusifia.
Andika biography yake utuachie sisi tutoe sifa, lakini wewe umeandika sifa siyo wasifu wake.
It seems what amazes you ni darasa lake la tatu, au ni ubunge wake?!
Mkuu Mafwi Munda, sio darasa lake 3, wala sio ubunge wake, bali ni uwezo wake wa kujieleza, ni extra ordinary!. Ana something more ambacho mimi nimekiona, bila jicho la tatu, huwezi kukiona, ndio maana nimesema he has powers!. Naomba usiniulize powers gani, kutoka wapi, na za kufanyia nini!.
P
 
IMI NAMSIKILIZA SASA HIVIHUYU JAMAA NINKICHWA NA ANA KARAMA
Mkuu Gidbang, asante kwa kuliona hilo la karama, Kibajaji ana karama fulani ila watu wengi humu jf, hawataki kuliona hilo.
P.
 
jamani naomba mnieleweshe hyu jamaa sio mtoto wa waziri wa zamani mr job kusinde ambae ans undugu na akina le mutuz
 
Kibajaji ni muongeaji mzuri sana kwa mambo yaliyo within uelewa wake... I mean mambo yasiyohitaji usomi!!

Na kwa kuzingatia hata hao wasomi hawana hata uwezo wa kujenga hoja kwenye mambo yaliyo kwenye usomi wao, haitashangaza kuona Kibajaji akiwazidi hata hao wasomi kwenye kujieleza!!!

Sema duh, hiyo source ya jina... kumbe ni simulizi ya mende kudondosha kabati!
Mkuu Chige, huu ndio ukweli wenyewe, jamaa ni muongeaji mzuri wa level yake, na wapiga kura wengi ndio level hii!, ndio maana, magazeti ya udaku na makorokocho, yananunuliwa sana, magazeti serious, yakidoda!. Na kipindi bora cha TV ni Shilawadu ndicho kinaangaliwa na rais wetu!.
P.
 
Pascal Mayalla

Kwa sifa ulizompa Mh. Mbunge unadhani angekuwa nje ya siasa angepata utajiri huo alionao wa majumba, Mashamba na Magari ya kifahari?

Hakuna ajira inayolipa tena ukiwa katika chama tawala barani afrika zaidi ya SIASA!...Angekuwa utajiri wake ameupata kama kina Bakresa (walioanza na kujibidiisha wenyewe bila siasa na kufikia pale walipo leo) ningempigia salute!

Lakini mtu kaupata utajiri kupitia siasa unasema ni mpambanaji?

Hili la leo hapana bwana!
 
Mkuu Gidbang, asante kwa kuliona hilo la karama, Kibajaji ana karama fulani ila watu wengi humu jf, hawataki kuliona hilo.
P.
Hata yule kijana aliitwa Rama Mla watu nilimsikiliza alijieleza vizuri sana, nakushauri Paskali umtafute umpe interview najua hutosita kusema ni genius.
Kumsifia mtu ni hiyari na utashi wa mtu, lakini ulichokiona labda mimi sikioni kwa huyu.
Haya ndio yana muharibu rais wetu. Kusifiwa na kushangiliwa hata anapokosea, kuna kundi la wapambe kazi yao ni kupamba wanaweza kumpamba Nyoka akafanana na Sungura, lakini sio kweli kwamba Nyoka anafanana na Sungura.
Mimi naomba kutofautiana na wewe kwenye hili.
 
Mkuu Mafwi Munda, sio darasa lake 3, wala sio ubunge wake, bali ni uwezo wake wa kujieleza, ni extra ordinary!. Ana something more ambacho mimi nimekiona, bila jicho la tatu, huwezi kukiona, ndio maana nimesema he has powers!. Naomba usiniulize powers gani, kutoka wapi, na za kufanyia nini!.
P
Hahaha hapa naona ni Mshanajr tu atakielewa mimi naomba nikae upande wa ku oppose hii kitu.
 
Infact anataiwa kuwa waziri wa elimu au sheria kama wabunge walivyoomba...Naamini mh magufuli atachukua mapendekezo ya wabunge hao nasisi na wewe tutamuunga mkono.
Paschal Mayalla siku zote nasoma habari zako unazoandika humu ,uko makini sana unapo andika , LAKINI leo naona umeenda kombo , Hivi katika dunia ya leo unaweza ukampa huyo mheshimiwa kazi gani anapata ubunge sababu anao waongoza nao elimu yao ni ndogo kama yeye
 
Pascal Mayalla Mimi huwa siamini kabisa pascal Kama kuna mwana CCM ana timamu.

ata akiwa na timamu hana uchungu wowote na taifa hili so siwezi poteza mdawangu kumsikiliza mtu ambaye toka tupate uhuru ata maji niyashida.
Watu wanamzungumzia mtu binafsi wewe unaleta habari za vyama na uhuru

Kuna watu masiasa yamewakaa kichwani mpaka mkitembea mnajikwaa, hamuoni
 
Sasa pascal hiyo ni historia ya maisha mbn umempamba ata ana uwezo mkubwa me nlijua utaongelea national issues kujenga hoja au vitu constructive
Pascal kazungumzia maisha binafsi kilichotokea mnataka kusikia mnachopenda
 
Kinachofanya aonekane mtu wa hovyo mbele ya jamii ni mdomo wake mchafu.
It is inverse proportion, kinachofanywa aonekane mtu wa maana mbele ya jamii yake, ni mdomo wake mchafu, ndio maana anatumiwa sana kwenye kampeni, kwa sababu siasa zetu ni siasa chafu na za hovyo hovyo. Mtu akiwa na mdomo mchafu ndio the best. Mtu akileta siasa za maana kwa waliozoea siasa chafu za hovyo hovyo, ndio ataonekana mtu wa hovyo!.

Unakumbuka 2005, Dr. Salim, Prof. Mwandosya na JK, unakijua JK alichomfanyia Dr. Salim kupitia kwa Salva wa Mtanzania?. Then what happened?. Watu wa maana wakatupwa, mshikaji aka win!.

Huyu Jamaa alipindua lile Tingatinga, la Mtera, na 2020 Prof. Kabudi akitia tuu pua, ataaibika vibaya!. Kwa umasikini wa Dodoma na uwezo wa akili, zao, Kibajaji is the best they have.

Kuhusu akili za watu wa Dodoma au masikini wa kutupwa!, kanisome hapa

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
P
 
Back
Top Bottom