Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia upinzani na kista kumsifia Hayati Mhe. JPM. Kwa siku zote hizo alikuwa akilipwa fedha za walipa kodi kama shukrani. Lusinde akaona hayo ndo maisha, akanunua na BMW Nyeusi, akajiona mwenye heri sana.

Tangu Mhe. JPM amefariki, mirija ya Lusinde imekatwa, leo anajidai kujipendekeza kwa Mheshiwa Rais aliyepo akidhani mirija itafunguka, tunampa pole hakuna fedha za Rogue Units kama ilivyokuwa hapo awali. Lusinde utaongea hadi sauti hadi iishe, Mama Samia hana muda na wewe, ana akili zake na ana wasaidizi wake wanaomshauri ipasavyo.

Mwisho niwashauri Lusinde, Msukuma, Jenister na wenzenu, nguzo yenu imeanguka, muukubali ukweli wa Mungu kuwa JPM ametangulia mbele ya haki na Rais aliyepo ni Mhe. Samia Hassan. Aidha, Ndugai kuwa makini na Lusinde aliwahi kusema utarudi kama CARGO ukiwa matibabu India. Ni bahati ulirudi ukiwa mzima.
P
 
Huyu sipotezagi muda wangu kumsikiliza, mgogo wa hovyo kabisa jimbo lake watu ni maskini wa kutupwa
 
Mi ndio maana Dodoma na watu wake siwaheshimu hata siku moja
 
Lusinde ni scam kabisa
Sifa za Ubunge wa Lusinde:
  1. Kutukana Wabunge wa Upinzani na kuingilia hoza zao kwa "TAARIFA".
  2. Kusifia, kutetea na mapambio kwa aliyekuwa Jiwe na leo HAYATI JIWE.
  3. Elimu Darasa la III.
  4. Kutumia Uganga na Uchawi.
  5. Kutukana Mawaziri wasomi hasa Proffessors.
 
Kuna nyakati unaona zile adhabu zilizokuwa zinatolewa zamani kuua baba na vizazi vyake hasa watoto wa kiume kuna baadhi ya watu walipaswa kutokomezwa kbs
Kuacha kizazi cha hawa watu bora ufuge fisi.
 
Sifa za Ubunge wa Lusinde:
  1. Kutukana Wabunge wa Upinzani na kuingilia hoza zao kwa "TAARIFA".
  2. Kusifia, kutetea na mapambio kwa aliyekuwa Jiwe na leo HAYATI JIWE.
  3. Elimu Darasa la III.
  4. Kutumia Uganga na Uchawi.
  5. Kutukana Mawaziri wasomi hasa Proffessors.

Huyu ni chambo................ yaani ni sawa na mtu jinga unamwambia anzisha kitu fulan mimi nitafuata
 
Kuna wakati sura ya Ndugai haieleweki kbs kama bahari inajaa na kupungua.
Spika Ayubu Ndugai aliwahi kulazwa hospitali moja huko India kwa takriban Mwaka 1! Sijui alikuwa anaumwa nini! Lakini kulingana na behaviour yake Bungeni kama Spika nachelea kusema kuwa bila shaka BADO HAJAPONA SAWASAWA...!!! Kwa vile Ndugai ni muumini wa swahiba mwendazake aliyependa kujiita Mzalendo this time around NDUGAI HAKUNA KUPELEKWA INDIA !!! ITAPENDEZA AKILAZWA PALE MIREMBE MENTAL HOSPITAL ILI IWE RAHISI KWA OFISI YA BUNGE KUMHUDUMIA. The man is still very mentally sick....!!!!
 
Back
Top Bottom