Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

P
 
Huyu sipotezagi muda wangu kumsikiliza, mgogo wa hovyo kabisa jimbo lake watu ni maskini wa kutupwa
 
Mi ndio maana Dodoma na watu wake siwaheshimu hata siku moja
 
Eti Ndungai kamtengea muda wa nyongeza mwenyewe kaita bonasi ili atukane! Ndungai ndiye Spika wa hovyo kuliko wote duniani


Kampa muda wa Bonus na pia kamzawadia Phd ya heshima Mgogo mwenzake, huyo spika ni mkabila balaa.
 
Lusinde ni scam kabisa
Sifa za Ubunge wa Lusinde:
  1. Kutukana Wabunge wa Upinzani na kuingilia hoza zao kwa "TAARIFA".
  2. Kusifia, kutetea na mapambio kwa aliyekuwa Jiwe na leo HAYATI JIWE.
  3. Elimu Darasa la III.
  4. Kutumia Uganga na Uchawi.
  5. Kutukana Mawaziri wasomi hasa Proffessors.
 
Kuna nyakati unaona zile adhabu zilizokuwa zinatolewa zamani kuua baba na vizazi vyake hasa watoto wa kiume kuna baadhi ya watu walipaswa kutokomezwa kbs
Kuacha kizazi cha hawa watu bora ufuge fisi.
 

Huyu ni chambo................ yaani ni sawa na mtu jinga unamwambia anzisha kitu fulan mimi nitafuata
 
Tufanyeni tu kazi, vinginevyo itakuwa ni UANAUKE.
 
Kuna wakati sura ya Ndugai haieleweki kbs kama bahari inajaa na kupungua.
Spika Ayubu Ndugai aliwahi kulazwa hospitali moja huko India kwa takriban Mwaka 1! Sijui alikuwa anaumwa nini! Lakini kulingana na behaviour yake Bungeni kama Spika nachelea kusema kuwa bila shaka BADO HAJAPONA SAWASAWA...!!! Kwa vile Ndugai ni muumini wa swahiba mwendazake aliyependa kujiita Mzalendo this time around NDUGAI HAKUNA KUPELEKWA INDIA !!! ITAPENDEZA AKILAZWA PALE MIREMBE MENTAL HOSPITAL ILI IWE RAHISI KWA OFISI YA BUNGE KUMHUDUMIA. The man is still very mentally sick....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…