Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Liwalo liwe, kila mtu na lwake, ndiyo hatima ya Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liwalo liwe, kila mtu na lwake, ndiyo hatima ya Tanzania!
Sema mkuu, tunatega masikio...Liwalo liwe, kila mtu na lwake, ndiyo hatima ya Tanzania!
Liwalo liwe, kila mtu na lwake, ndiyo hatima ya Tanzania!
Kweli mchungaji, hebu angalia mvutano usio na aibu wa posho za wabunge, yaani ni kama mchezo wa watoto huyu anamwaga ugali na yule anamwaga mboga halafu tukose wote,..................... "Hosea anazuia suruali yake huku anataka kuwavua wabunge nao wabunge wanazuia wasivuliwe suruali zao wakati huo huo wanataka wamvue suruali Hosea"Liwalo liwe, kila mtu na lwake, ndiyo hatima ya Tanzania!
Ndugu tafadhali weka heshima unapoweka post yoyote sio kila post lazima uweke kwenye jukwaa la siasa , na sio lazima kila mara uweke post
na wewe sio lazima kila post uwe unajibu.by the way who are you hapa JF unajifanya kiranja hapa..kwenda zako bana
Yes mchungaji!
Sema upo USA....lkn kwa walio Bongo hicho ndicho kinanchotokea sasa! Public goods, zinabinafsishwa, watu wachache sana wanazifaidi...labdo bado hewa tu....lkn nayo inakuwa polluted etc!
Pia ukiangalia maisha yakawaida ya watanzania, kila mmoja anastruggle kivyake! Ukiuguliwa na mtoto, baba, mama, wewe mwenyewe...utahaingaika weeee, mara sijua Agakhan, Mikocheni,tumaini etc (only km unatusendi) au India or SA........! wenye watoto, kila mmoja anahangaika kivyake wapi mtoto atapata elimu nzuri, wapi atapata entertainment, wapi atapata ajira, wapi atatibiwa etc! Ukitaka ardhi/kiwanja....basi wale wenye undugu/urafiki na wenye dhamana na ardhi ndio wanakatiwa mapande ya ardhi kama mapande ya nyama bucha, huko wale wenzangu na mimi wakibaki kutoa macho wasijue hatima yao na watoto wao!
Bongo now kila mmoja anastruggle kivyake vyake, hakuna uzalendo wa kweli, hakuna umoja wa kweli, hakuna amani ya kweli, kila mmoja anavuta kamba kwake tu!
Jamani msameheni Shy, nitamjibu kejelizake.
- Shirika la Bima linafilisiwa baada ya kubinafsishwa kutokana na mfumo wa uchumi huria. Baada ya Ubinafsishaji kumalizika, Serikali itaanzisha shirika jipya la Bima.
- Sekab wamejitoa kwenye ule mradi wa Miwa ya mafuta, sababu hazieleweki lakini tulishawapa ardhi kibao na misamaha kibao. Najiuliza, tuliwapa hii ardhi kwa ajili ya bei ya mafuta kupanda mwaka jana au vipi
- Membe kachimbia mkwala mabalozi wasisaidie vyama upinzani. Lakini misaada kwa Tanzania inayopitia CCM na Serikali yake ni ruksa hata kama itahakikisha CCM inaendelea kutawala milele!
- Mradi wa Umeme kule Mbeya uliosimama miaka 11 kufanyiwa kazi, unaanza tena, swali ni nani aliboronga na sasa hivi utatusaidia vipi kwenye shida yetu ya umeme?
- IPTL impewa ruksa kutuzalishia umeme huku kuna ugomvi mkubwa wa kufilisiana kati ya wenye hisa ndani ya IPTL. Zaidi, Serikali yetu imesema itagharamia kila kitu kuhusiana na uzalishaji huu wa umeme wa IPTL unaoanza kesho. Je tumepunguziwa bei kwa kila kilowati ya umeme unaozalishwa ikiwa mafuta ni yetu na kila kitu ni chetu na wao kazi yao ni kutumia mitmbo yao?
- Spika anadai Takrima si dhambi, kupewa posho ni utamaduni wa Kitanzania na hivyo tukipeana posho na takrima ni jambo sahihi. Je lini tutapiga vita ufisadi?
- Sakata la Richmond limeamuliwa ki-CCM kama nilivyotabiri. Kama kamati ya Chama, pande zote mbili zimeafikiana kulizungumza ndani ya kamati ya madini na si Bungeni (publicly) na hivyo kila mtu kanyamazishwa kuinusuru CCM na Serikali yake!
- Edward Hosea kachaguliwa kuwa mjumbe kwenye Bodi ya Ushauri UNDP kweye masuala ya kupigana vita na rushwa!
- Wabunge na Serikali wanapigana vifua, wanakataa kupelelezwa na TAKUKURU! Wabunge wa CCM wanadai Posho Ruksa, wale wa Upinzani wanadai Posho ni rushwa!
- Simba kaifunga Yanga, refa kaionea Simba na kutoa kadi nyekundu, Nguza akata rufaa, Ferre Gola na Shikito wanakuja Tanzania, Minofu ya Samaki kugawiwa wananchi, Serikali kununua mazao kutoka wka Wakulima, Mwekezaji Kapunga Rice kapigwa mkwala na Rais....
- nk, nk, nk, nk, nk, nk, nk GT bado anawatafuta Free Masons, I mean Freeman Mbowe, wengine wanajiuliza kuhusu Azimio la Arusha na Shy anadai Mchungaji Punguani!
Stop asking what your country can do for you and ask yourself, what can you do for your country. by JFK 1960s
Ndugu tafadhali weka heshima unapoweka post yoyote sio kila post lazima uweke kwenye jukwaa la siasa , na sio lazima kila mara uweke post