Liwalo na liwe nimevutiwa na nimetokea kumpenda huyu jini kwa moyo wangu wote

Bwahaha we baby wewe yani ujenge mausiano na jini mwezi upite ndo uje utuhadithie leo na ulivyomtafuta kiki hivyo nani aamini. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bwahaha we baby wewe yani ujenge mausiano na jini mwezi upite ndo uje utuhadithie leo na ulivyomtafuta kiki hivyo nani aamini. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio kiki hii ni kweli ujue
 
JAMAN mume wangu anapoelekea sasa siko !dah !jaman ben ten wangu wewe nn lakini? hahahah aiseee! unajua huyu akifika like 30 yrs atakuwa anajutia sana haya !hahaha mie sikupitia ujana wangu vibaya aiseee !dah Beira Baby Boy salute
Unajua mda mwingine nikiwa nimetulia huwa napitia kusoma nyuz zangu huwa nacheka sana aisee..

Huwa nabak najiuliza hivi niliwaza nini lakin kwa kuwa ni changamsha genge siyo mbaya aisee
 
Amin mkuu unajua kuna mda huwa naleta mastory ya kuchangamsha genge lakin hii ni kweli sichangamshi genge mkuu
Sasa mkuu huyo jini huwazi kuwa kuna siku utamkwaza atautoa uhai wako(inaweza tokea bahati mbaya)

Ila kwasababu ulisema kuwa unampenda unampenda mi nakushauri kuwa nae tu aslongest unampenda

Ila mmmh!
 
Sasa mkuu huyo jini huwazi kuwa kuna siku utamkwaza atautoa uhai wako(inaweza tokea bahati mbaya)

Ila kwasababu ulisema kuwa unampenda unampenda mi nakushauri kuwa nae tu aslongest unampenda

Ila mmmh!
Hawez kunifanyia kitu kibaya yuko simple sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…