Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mda mwingine nikiwa nimetulia huwa napitia kusoma nyuz zangu huwa nacheka sana aisee..JAMAN mume wangu anapoelekea sasa siko !dah !jaman ben ten wangu wewe nn lakini? hahahah aiseee! unajua huyu akifika like 30 yrs atakuwa anajutia sana haya !hahaha mie sikupitia ujana wangu vibaya aiseee !dah Beira Baby Boy salute
Sikuamin baby ujueSio kiki hii ni kweli ujue
Sasa mkuu huyo jini huwazi kuwa kuna siku utamkwaza atautoa uhai wako(inaweza tokea bahati mbaya)Amin mkuu unajua kuna mda huwa naleta mastory ya kuchangamsha genge lakin hii ni kweli sichangamshi genge mkuu
Hawez kunifanyia kitu kibaya yuko simple sana aiseeSasa mkuu huyo jini huwazi kuwa kuna siku utamkwaza atautoa uhai wako(inaweza tokea bahati mbaya)
Ila kwasababu ulisema kuwa unampenda unampenda mi nakushauri kuwa nae tu aslongest unampenda
Ila mmmh!
Go on broo kila la heriHawez kunifanyia kitu kibaya yuko simple sana aisee