Lizer wa wasafi...its time to move on

Usichokijua ni kuwa wasanii wa bongo wako kwa upepo yaani kama biashara ya bar.
Producer ukiwa na upepo kwa wakati huo wasanii wote wanakuja kwako, ukikata wote wanahama wanaenda kwingine. Ni heri abaki hapo kwenye uhakika.
Naunga mkono hoja yako ila aombe aongezewe mshaara aisee anapiga kazi ya kuonekana huyu dogo
 
Baaasiii umeua utata mi naenda na wewe
 
Siyo uwoga Mkuu

Labda sikueleweka vizuri Mkuu

Yaaah mkuu mfano mzuri ni labda wewe unapopatia riziki saiv mambo yakaharibika hautakufa mkuu utaparangana utaibuka sehemu nyingine, hata kama sehemu ya kwanza watakutengenezea vikwazo kuna namna Mungu atakuonyesha tu ili mtu wake wa nguvu uendelee kusavaiv. Mfano juz nlikuwa sehemu na shemeji yako mmoja nampa maisha sasa pemben kuna jamaa anaonekana ana stress zake si unajua wanawake ? akawa kama anamletea dharau, me nikamwambia ukweli kwamba asimdharau mwanaume, leo hana kesho anacho alafu moyoni nikajisemea hata wewe unaleta dharau sababu i am around na ndio nalipa bill hapa nikikuacha ustand alone hata maji utaona ni gharama. Anyways nachojaribu kusema ni kwamba vitu viwili kwenye maisha ya wanaume(nasema wanaume sababu sisi ndio tuna toil sana), KUJIAMINI SISI BINAFSI, na KUJIPA SECOND CHANCE KAMA TUKIFANYA BLUNDER ON FIRST ATTEMP... Maisha hayahitaji kukurupuka kama ulivyosema mkuu ila TRUST ME kujipanga kwa other alternatives kama the coin flips on the other side ni Muhimu sana sababu anytime anything can happen. Twende kwenye mfano halis sasa, boss wa WCB ni Mond, uwepo wa laizer pale unategemea mondi [emoji817], Tunasema ishue ya laizer kuobdoka mwenyewe yan asikurupuke, sasa basi siku akiamka yeye mondi anasema hamtaki laizer, laizer atafanyaje ? sababu diamond nae ni mtu pia ana mood swing na pia ana preference zake muda mwingine anataka hiv hataki vile hata kama mwaka jana alikuwa anataka hiki. Chamsingi hapa ni tu jamaa awe nae na plan b if things dont work out with his boss, ila kama mambo bado ni mazuri kama tunavyoona inshalaah sisi tunamwombea dua.

NB: Usimtegemee asilimia [emoji817] binadamu siku akikuangusha hautaamini. Its only God that we can rely on with [emoji817]percent.
 
Nime kupata vizuri Mkuu, nilicho kua namaanisha ni kwamba aanze kujijenga still akiwa yupo kibaruani ili likitokea la kutokea aweze kusimama mwenyewe.
 
Nime kupata vizuri Mkuu, nilicho kua namaanisha ni kwamba aanze kujijenga still akiwa yupo kibaruani ili likitokea la kutokea aweze kusimama mwenyewe.

Hapo naunga hoja kabisaaaa, manake kuna leo na kesho, ukute jamaa hata hana habari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…