MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Waswahili yatuuafika stage hiiMkuu ushauri mzuri sana huu wa kutokua na maugomvi na mashindano. I just think if Wasafi wants to keep him ,then walimpe vizuri, 10-20% ya mapato yote ya nyimbo aliyotengeneza ingependeza wamlipe, instead of mshahara. Anyway sijui haya mambo ya Music,especially kujua haki za wasanii,producer or label , ila inaelekea kuna mambo mengi ndani ya carpet.
Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?Mkuu ukifatilia mziki wa bongo , producer si chochote ndo mana lamar anauza ubwabwa na kuosha magari, master J naye haelewek akina makochali hao , Wataalam kama PFunk , Tuddy hawasomeki man water analia lia tuu....
Tatizo linakuja Diamond anathamin Sana wafanya kaz wake ndo mana inafkia hatua watu tusiojua tunahsi huenda wananyonywa ,....
Producer unalipwa Laki moja na msanii, msanii mkubwa ambao ni wachache anakulipa 500K au 1Million per beat, diamond anatoa mpak 5Million, ...juzi S2Kizz kapost gar producer mwenzako kamkatalia kuwa hawez kununua gari ya vile Kwa hela ya production may be ana mishe zingine au Diamond kamtunuku tuu....somtyme wanafikia hatua ya kuimba tuu sasa na wao....mziki wa Tanzania bado ni mchangao
kuendana na haki za maproducer kama ilivyo nje ....
Diamond anajitahdi Sana kiukwel kuwalipa vizur mi siombei Laizer atoke WCB ajijenge Tu pale pale kuna maproducer wakubwa Tu wanataman nafas yake hapo..... Soko halipo fair na kuligeuza ni kazi kwel kwel
Unabwabwaja jwa ujasiri utafikiri unaonaga salary slip za hao wafanyakazi waje