Lizzy: "JF Queen Of MMU - 2011"

Lizzy: "JF Queen Of MMU - 2011"

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
Mchakato wa Kumtafuta Malkia Wa Jukwaa La MMU yaani "Queen Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229996-polls-queen-of-mmu-2011-a-2.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

Lizzy ni: JF Queen Of MMU - 2011 - (Q-MMU 2011)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
Q-MMU Lizzy.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
Q-MMU Lizzy kwa Ushindi alioupata.

Angalizo:

Kufuatia Maombi ya mmoja kati ya Washindani: Post # 54
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-polls-queen-of-mmu-2011-a-2.html#post3450911

Tume ilikaa na kutoa uamuzi wake kupitia post # 76
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-polls-queen-of-mmu-2011-a-2.html#post3450911

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images
 
queen lizzy hw are you.congrats
 
Hongera kwa kuteuliwa queen wetu. Nina furushi la pipi kama huogopi kuoza meno.
 
elfu hamsini? hehehe kwa mara ya kwanza leo mimi na mchumbaangu Lizzy hatutodu gesti acha nibook hoteli la gharama.
Hongera my waifu to be.
 
Hongera Lizzy sana
Unastahili kuwa Queen of MMU
 
Uko wapi weye?

hongera sana, unastahili taji hili.
Afu unlipe lile deni.
 
Hongera lizzy jamani,ngoja nilete na mahari kwenu nikuoe kabisa,nasikia umeachika kwa Nape sasa mi ntakuoa na nitakuhudumia vizuri hadi utapendeza girl wangu lizzy.
 
Hongera sana Da' Lizzy, hakika wastahili na ninakutakia kila la kheri kwa kila utendalo.
Uwe na wakati mzuri.
 
Hio zawadi jamani sio fear! Naomba kumpa yangu personally
 
Back
Top Bottom