Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 369
Kama ilivyokawaida kwa baadhi ya vyuo hapa tz juu ya utoaji wa shahada za sheria kwa miaka 3,Hii ni tofauti kidogo na vyuo vingine vingi vinavyotoa shahada kama hiyo kwa miaka minne.So ningependa nijuzwe juu ya utofauti huu.