Llb miaka 3 na ile ya minne.

Llb miaka 3 na ile ya minne.

Bendera ya Bati

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
279
Reaction score
369
Kama ilivyokawaida kwa baadhi ya vyuo hapa tz juu ya utoaji wa shahada za sheria kwa miaka 3,Hii ni tofauti kidogo na vyuo vingine vingi vinavyotoa shahada kama hiyo kwa miaka minne.So ningependa nijuzwe juu ya utofauti huu.
 
kwanza mimi ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa 4 st.augustine university, tofauti ya kwanini ya miaka inatokana na extra subjects and units of the subjects kwa chuo husika, si maanishi core subjects in law
 
Back
Top Bottom