LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

Wa tz wamekata Tamaa na viongozi wa nchia Yao, kuhusiana na resources za Nchi hii , Wana siasa wa CCM wanataka kujimilikishia Wao na familia zao, (mwitongo declaration).

Gesi ya mtwara imesababisha mpaka Dangote kafunga kiwanda kisa 10% ya kiongozi haijatimia.

Mikataba yote serikali inayo fanya na investors nani amewahi kuiona, juzi Tu hapa DP World imevuja ikasababisha mpaka mkuu wa tiss kutimuliwa.
Ina maana Hata wakuu wa usalama wa Nchi hawawezi zuia uporaji wa rasilimali za nchi, SS nani ataweza , kama watu wa usalama wa nchi hii wakashindwa kulinda maslahi ya nchi Yao.

Ss tukiongea humu tuna itwa wapiga Kelele Tu,
Ubadilifu wa nchi hii unaanzia Kwa raisi mwenyewe .
 
Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara inadaiwa kuwa na teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))
 
Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara inadaiwa kuwa na teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))
 
Hizi Nchi zenu za kijamaa zinaweka masharti mengi sana yasiyo na ulazima.

Miaka 4 wanajadili vitu visivyoeleweka Hadi Wawekezaji walitishia Kujitoa https://www.reuters.com/business/energy/tanzania-hopes-conclude-talks-lng-project-by-june-2025-02-11/#:~:text=NEW DELHI, Feb 11 (Reuters,could be completed by June.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…