Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sijibu maswali ya kipumbavu!Kwa hiyo wenye haki ya kuzaa ni wale wenye uwezo tu kama wewe?
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijibu maswali ya kipumbavu!Kwa hiyo wenye haki ya kuzaa ni wale wenye uwezo tu kama wewe?
Vv
Hukosei boss lakini unapofanikiwa wewe kuweza kufanya kitu fulani usidharau au kubeza walioshindwa boss.Sina maisha safi maana hata bodaboda similiki ila nina dhamira ya kuhakikisha watoto wangu wanasoma kwa kuungaunga na sio kulialia. Nakosea?
Soma maelezo yangu kwa niliowajibu utaona mantiki yangu Ila sio lazima ukubaliane nayo.Duh! Hivi una akili kweli?? Moja ya jukumu la Serikali,nikuwapa watu wake Elimu,ili walisaidie Taifa lao kwenda mbele! Sasa unataka watu wenye Elimu watoke nje ya taifa ndiyo waje watusaidie kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya tuna msemo usemao, "...bilema olengile"!Hukosei boss lakini unapofanikiwa wewe kuweza kufanya kitu fulani usidharau au kubeza walioshindwa boss.
Huyu mzee haelewi hata anachoongea, hajui asilimia kubwa ya vigogo waliosoma kipindi cha Nyerere walitoka familia duni huko vijijini hawakuwa hata na uwezo wa kulipa hata nauli kwenda shule, walisafirishwa bure, kusoma bure hadi nje ya nchi serikali ililipa.......serikali ingekuwa na mawazo kama ya huyu mzee, hii nchi leo hii ingekuwa imejaa vilaza kila kona.Duh! Hivi una akili kweli?? Moja ya jukumu la Serikali,nikuwapa watu wake Elimu,ili walisaidie Taifa lao kwenda mbele! Sasa unataka watu wenye Elimu watoke nje ya taifa ndiyo waje watusaidie kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli ni mateso makubwa sana kuna mdogo wangu nimemshauri aende veta tu maana mkopo hawajampa,chuo wamempangia mbeya,ovyo kweliNashauri kama hari ndio hii basi vyuo visiwe vinafunguliwa hadi pale Loan Board inapokamilisha ugawaji wa mikopo na kuhakikisha kila anaestahili kupata amepata na kisha kutangaza kufunga dirisha la kupanga mikopo.
Wanafunzi wanateseka hawajapewa mikopo/accommodation huku masomo yameshaanza, yaani watoto wa masikini wako chuo hawajui watakula nini, wana tembea tembea tu na kuomba omba kwa watu. Mtoto ametoka Kigoma/Bukoba/Katavi/Mara/Songea kaja hapa Dar hajui anakula nini. Huu ni unyanyasaji.
Kuna wengine wameshindwa kutoka nyumbani kwenda vyuoni wakisubiri uhakika wa loan board iwapo itawapangia mikopo ama lah. Wengine wako radhi kuahirisha mwaka wasubiri Loan Board iwapangie mikopo.
Ushauri kwa Serikali: Databae ya wanafunzi wanao maliza form six mnazo mapema kabisa. Fanyeni mpango muwape mikopo wote ama mshushe Ada ili watoto wajilipie kama ilivyo kwa form six. Punguzeni ubaguzi kwenye Elimu.
Haya ndo yakisikia msiba kwa jilani linachekelea tuUnazaa watoto ili baadae uilalamikie Serikali eti haijawasomesha? Huu ujinga utaisha lini kwa Watanzania?
Sawa nshomile.Wahaya tuna msemo usemao, "...bilema olengile"!
Kipindi cha nyuma kabla ya kuanzisha loan board serikali ilikuwa inatoa ufadhili kwa wanafunzi waliokuwa wamedahiliwa kwenye vyuo vikuu vya umma kama UDSM, SUA na Mzumbe........waliokuwa wanaenda vyuo vya binafsi walikuwa wanajilipia, kwa hiyo ni logical kusema kwamba serikali ijikite kuelimisha watu kupitia vyuo vyake yenyewe na watakuwa na uwezo wa kuongeza udahili kulingana na bajeti waliyo nayo.....kuliko hivi sasa wanavyohangaika.Duh! Kwa hiyo Private hawana sifa zakupewa loan, hivi unadhani loan board ilianzishwa special kwa ajiri ya Public University Students only??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao maofisa wanaofanya hivyo ni washamba! Kuna Prof. mmoja akitoa lecture siku moja akatueleza ya kwamba alishangaa sana kuona jina la mwanae lipo kwenye orodha ya wanafunzi watakaopewa mkopo!Hivi loan board wenyewe,wakiona majina ya watoto wa wanene,ndiyo kwanza wanawapa mikopo! Wakati baba zao wanauwezo wakulipa ada na mazaga mengine yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Prof nae, kwani hadi mtoto wake apewe mkopo si anaomba na kujaza fomu na mdhamini ambae ni mzazi nae anasign, sasa huyo Prof anashangaa niniHao maofisa wanaofanya hivyo ni washamba! Kuna Prof. mmoja akitoa lecture siku moja akatueleza ya kwamba alishangaa sana kuona jina la mwanae lipo kwenye orodha ya wanafunzi watakaopewa mkopo!
Mkuu achana na hawa watoto. Kwani Bodi wanaijua sahihi ya Baba? Mtoto anaweza ingia kozi ya mwezi kuiga sahihi ya Mdingi! Achana nao hao!Huyo Prof nae, kwani hadi mtoto wake apewe mkopo si anaomba na kujaza fomu na mdhamini ambae ni mzazi nae anasign, sasa huyo Prof anashangaa nini