Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Na kujifanya wako sahihi wamemwekea senti 03😜Maneno ya matapeli ktk utetezi... Hawajakanusha hizo tarakimu Wala kukataa jibu lao Ni piga 100 uongee na huduma kwa wateja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kujifanya wako sahihi wamemwekea senti 03😜Maneno ya matapeli ktk utetezi... Hawajakanusha hizo tarakimu Wala kukataa jibu lao Ni piga 100 uongee na huduma kwa wateja...
Hawa bodi ya mikopo watatuua Yani ajira hamna na wao wanaongeza Deni kila mwaka.HESLB wametoa ufafanuziView attachment 1673861
Taifa linakusanya kodi kutoka kwa wananchi kisha inawakopesha kodi hizo hizo kuwasomesha wananchi halafu inawadai na riba kubwa.. yaani pesa zako mwenyewe unakopeshwa
Tatizo ni kwamba hata kama hiyo figure imewekwa kwa makosa, mfumo wa lawson unaendelea kukata hadi isomeke zero, na hela zinaenda huko huko HESLB wanakokanushaWalishakanusha wakasema kuwa figures zinazoandikwa kwenye salary slip si za kwao.
Waajiri wanajiwekea figure tu ila ukitaka kujua kiasi halisi cha deni wasiliana nao
Unalipia kuomba mkopo, unakosa, una-appeal, unapata tena kwenye batch ya mwisho alaf kirahis wanataka kukata mshahara wa mtu.... hahahaha hii haipo aiseeJamaa deni lake kama taasisi kubwa inadaiwa, so sad!
Body ya mikopo hainipati ng'o...natamba nimesoma bure sirudishi hata senti.
Huyo mwalimu alikopeshwa pesa za kujengea barabara au za kusomea?
Pamoja na majibu mazuri ya wahusika hapo HESLB, je ule mpango wa kuweka picha za wadaiwa sugu bado upo pale pale au la? Hilo mimi naliona kama udhalilishaji wa aina fulani vile.Hebu kila mtu atazame kwa umakini Risiti ya Mshahara (Salary Slip) ya mtumishi huyu (Mwalimu) aliyesoma kwa pesa za bodi ya mikopo - HESLB...
Ni mjadala unaoendelea ktk group moja la WhatsApp huko na hiki ni kilio cha mwalimu huyu ambaye sasa yuko very frustrated na hajui afanyeje ku - overturn mambo.
View attachment 1673686
Huyu mnufaika mikopo ya elimu ya juu anadaiwa na Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) almost Tshs. 48,000,000,000 - yaani bilioni 48...!!
Baada ya kuona hili nikajiuliza maswali haya na naomba tujadili kwa pamoja;
1. Nimejaribu kujiuliza, hili linawezekana vipi? Ni figure ambayo iko pale kimakosa au ndiyo uhalisia wenyewe?
2. Na nikajiuliza hivi HESLB walimkopesha huyu kijana shilingi ngapi na akaenda kusomea ualimu wa aina gani na wapi hapa duniani..?
3. Na hivi sheria ya mikopo ya elimu ya juu kuanzia utaratibu wa kukopa na namna ya kurejesha ikiwemo riba iko vipi...?
4. Kama huu ndiyo UHALISIA, hebu tujiulize, kuwa, hivi serikali ipo kwa ajili ya nani?
5. Kama ipo kwa ajili ya wananchi, mbona kama inafanya biashara haramu ya fedha kupitia kwa wananchi hawa hawa masikini na wanyonge..?
UPDATES:
.......................
Baada ya malalamiko kuzidi hatimaye, Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wamejitokeza na kutoa ufafanuzi...
Japo ufafanuzi wao haujibu maswali mengi ya msingi, lakini at least wamesema kitu..
View attachment 1674331