Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi.
Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha failure kwa kujikita katika matukio ya kiinchi na kupinga kila kitu.
Kwa upande wa CCM Wabunge wake wengi walifanya lobbying na walifanikiwa haswa kwa kupata miradi mikubwa.
Umesahau kauli ya maendeleo hayana Yana chamaMoja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha failure kwa kujikita katika matukio ya kiinchi na kupinga kila kitu.
Kwa upande wa CCM Wabunge wake wengi walifanya lobbying na walifanikiwa haswa kwa kupata miradi mikubwa.
Nyi e.bado Sana! hayo mambo ya lobying Ni primitive concept,Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha failure kwa kujikita katika matukio ya kiinchi na kupinga kila kitu.
Kwa upande wa CCM Wabunge wake wengi walifanya lobbying na walifanikiwa haswa kwa kupata miradi mikubwa.
Sio tu mgeni jamvini,pia sema mzalendo halisi na si mzalendo maslahi.Mm ni ccm
,
lkn mm na familia yangu tutamwadhibu Jiwe trh 28.
who said kwamba hiyo ni primitive concept?Nyi e.bado Sana! hayo mambo ya lobying Ni primitive concept,
kinachotakiwa mgawanyo wa maendeleo Uwe sawa kwa kila Jimbo ,
Wabunge kazi yao kuishauri selikali na kuisimamia iongeze mapato
yatakayotosheeleza utekelezaji wa mipango na miradi kila Jimbo kwa usawa,
Silimezimwa, Sasa tutajuaje yanayoendelea hukowho said kwamba hiyo ni primitive concept?
umewahi kuhudhuria vikao vya bunge a kuona wageni mbalimbali wakiwasaka wabunge na mawaziri kwa ajili ya lobbying?
Soma kazi za Seneta huko kwa mabwana zenu mabeberu
Wabunge wengi wa upinzani walijikita kwenye harakati na kuivimbia serikali matokeo yake ni kukosa miradi ya maendeleo majimboni mwao. Ni sawa na kutwanga pilipili mshahara kukohoa ! Kwa mfano Mbeya mjini jiji linavumbi kiyama ! Barabara za ndani zote hazina lami nilikua huko majuzi sikuamini kama ni jiji au kitongoji ! Yote sababu ya ujeuri wa Sugu na makamanda wenzie!Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.