Walijaribu kukumbusha habari ya Uhuru,Hali na maendeleo ya kweli badala take waliishia kuadhibiwa na mamlaka tofauti.Wabunge wengi wa upinzani walijikita kwenye harakati na kuivimbia serikali matokeo yake ni kukosa miradi ya maendeleo majimboni mwao. Ni sawa na kutwanga pilipili mshahara kukohoa !
ni kw sababu hawakufanya lobbyingUtotopolo kabisa, , hujasikia mgombea wa ccm akisema hakupeleka maendeleo kwa wabunge wa upinzani??
Ndiyo maana mwaka huu tutamchagua wa CHADEMA maana tumekosa maendeleo kwa sababu za upendeleo wa kiongozi mkuu .