Utotopolo kabisa, , hujasikia mgombea wa ccm akisema hakupeleka maendeleo kwa wabunge wa upinzani??
Ndiyo maana mwaka huu tutamchagua wa CHADEMA maana tumekosa maendeleo kwa sababu za upendeleo wa kiongozi mkuu .
Wabunge wengi wa upinzani walijikita kwenye harakati na kuivimbia serikali matokeo yake ni kukosa miradi ya maendeleo majimboni mwao. Ni sawa na kutwanga pilipili mshahara kukohoa !