Lobito Atrantic Railways, hawalali, wanajiandaa kusafirisha madini ya Zambia na Congo.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Lobito wanajidaa kusafirusha madini ya Zambia na Congo hadi Angola.
Screenshot_20240710_180730.jpg
 
Ushindani pia, tusijipe matumaini sana na Bandari yetu
Uzuri wa bandari yetu inapokea bidhaa (consumer goods) kutoka mashariki ya kati na mbali kama suppliers wetu wakuu hasa maeneo haya ya Africa mashariki na kati. Location ambayo bandari za Mombasa na Dsm zimekaa, ni eneo ambalo bidhaa nafuu kutoka mataifa ya Mashariki ya Asia upita kwenye hizo bandari.
Kiushindani bandari ya Lobito Bado itakuwa nyuma ya bandari zetu kuu Africa mashariki. Mfano bandari ya Mombasa na Dar zinalisha nchi za Congo DR, Rwanda, Malawi, Zambia, South Sudan, Burundi na Uganda
 
Endelea kujidanganya.
 
Back
Top Bottom