Uzuri wa bandari yetu inapokea bidhaa (consumer goods) kutoka mashariki ya kati na mbali kama suppliers wetu wakuu hasa maeneo haya ya Africa mashariki na kati. Location ambayo bandari za Mombasa na Dsm zimekaa, ni eneo ambalo bidhaa nafuu kutoka mataifa ya Mashariki ya Asia upita kwenye hizo bandari.
Kiushindani bandari ya Lobito Bado itakuwa nyuma ya bandari zetu kuu Africa mashariki. Mfano bandari ya Mombasa na Dar zinalisha nchi za Congo DR, Rwanda, Malawi, Zambia, South Sudan, Burundi na Uganda