Local cashew nut farmers to learn from their Tanzanian counterparts: Envoy says

The surplus they got from what they produce is used to buy what they don't and left with a lot on pocket..

Ndio maana wanajeuri ya kununua mahindi kwa bei ya ghali kuliko serikali yenu tukufu..
Unaumwa na ubongo wewe, husikii watu wanakabiliwa na njaa kila mwaka na serikali ya Kenya inapewa msaada ya chakula, husikii viongozi wa Kenya wakisikitika kutokana na aibu ya kupokea msaada wa chakula?, kama nchi ina uwezo wa kununua chakula haiwezi kukumbwa na balaa la njaa.

Njaa maana yake ni ukosefu wa chakula, bila kujali kama umezalisha au umenunua, nchi kama Dubai haizalishi hata gunia moja la chakula, umeshasikia wamekumbwa na njaa?
 
Eish! Umetoroka swali LA wakenya kuhusu interchange ukaja kukurupuka hapa. Unapaswa uache kuikebehi Kenya namna hii. Tunanunua mahindi si misaada. Hata mkipokosa kutuuzia si tulinunua kwingine. Shinda hapo ukijitekenya kijana
 
The surplus they got from what they produce is used to buy what they don't and left with a lot on pocket..

Ndio maana wanajeuri ya kununua mahindi kwa bei ya ghali kuliko serikali yenu tukufu..

If Kenya had that kind of money, they wouldn't find it difficult to service their debts. In fact, they borrowed even more to pay the intrests of their previouslyloans.
 
Waelimishe jombaa watu hawaelewi jina CASH kwenye 'cashcrops' kama kahawa, majani, maua, barley na mirungi, inamaanisha nini.

hivi Kenya bila hizo nchi inazoziuzia kahawa,chai etc, inaweza kujulisha? sometimes things change in life, relationships break up, ask Britain with their Brexit mess, see what is in store for them with no deal Brexit scenario.
 
Wewe mwenyewe
unasema tunawauzia, sasa relationship inaingilia wapi? Do you know the law of supply and demand? Acha uswahili bana, Kenya huwa inafanya marketing serious ya bidhaa zake. Soko huwa linabadilika kila mara ila haimaanishi eti ndio mwisho wa biashara.
 
Leo unawauzia kesho wanagoma kununua for all sorts of reasons, je mtakula nini? Saudi Arabia walikuwa wapenzi wa nchi za West in the Middle East, one mistake leo wanatafuta pakutokea.
 
Leo unawauzia kesho wanagoma kununua for all sorts of reasons, je mtakula nini? Saudi Arabia walikuwa wapenzi wa nchi za West in the Middle East, one mistake leo wanatafuta pakutokea.
Hivi unataka kuniambia kwamba wewe unajua kwamba Kenya tunakuza tu majani na kahawa? Sina huo muda wa kukelimisha jombaa.
 
There a lot of refugees in Kenya what do they eat if it's not this food? Kenyans do have enough produce which can sustain them .that food aid act as a supplement
Hahahaha, nyanyangu vipi tena?, tangu lini wakimbizi wakawa wakenya?, huu msaada umetolewa kwa serikali ya Kenya kwa ajili ya "starving Kenyans". Chakula cha wakimbizi kamwe hakipitii mikononi mwa serikali ya Kenya, wanakabidhiwa WFP na UNHCR.
 
Hivi unataka kuniambia kwamba wewe unajua kwamba Kenya tunakuza tu majani na kahawa? Sina huo muda wa kukelimisha jombaa.
Wala huna haja ya kunielimisha, Kenya is an open book when it comes to food security, thanks to cartels. Uganda Tanzania Zambia even Mexico wasingekula pesa ya Kenya kwenye staple food kama mgekuwa mnakuza vya kutosha. Bei ya staples in Kenya is over the roof, wakati nchi zinazojali watu wake inashuka.

Cereal prices fall over ample harvests
 
Karibuni kusini mwa Tz

Nimefuatilia sakata la hivi majuzi kuhusu korosho Tanzania na jinsi wakulima wanateseka hadi nikaona huruma.
Sijaelewa nini cha kuja kujifunza huko kama hamjawakwamua hao ndugu zenu kutoka kwenye lindi la umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…