Local cashew nut farmers to learn from their Tanzanian counterparts: Envoy says

Local cashew nut farmers to learn from their Tanzanian counterparts: Envoy says

The surplus they got from what they produce is used to buy what they don't and left with a lot on pocket..

Ndio maana wanajeuri ya kununua mahindi kwa bei ya ghali kuliko serikali yenu tukufu..
wangekua wanajeuri hio basi watu na mifugo isingekua inakufa kwa njaa😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
Eti what they produce bla bla bla, mzungu ndio mwenye maua na mashamba ya chai, sasa ni lini mzungu alikula ugali?

Alafu unataka serikali ya Tanzania inunue mahindi ipeleke wapi?
Sisi mbona madini yetu yote anayamiliki muzungu?
 
Wana irrigate kitu gani? Sababu all vegetables and fresh fruits they are importing from Tanzania

Labda wapo mbele kwenye urinating chang'aa
And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..

Who is smarter there? Maziwa je? Unajua wao mahindi yao hukatia ng'ombe yakiwa mabichi bado ndio huwa na proteins nyingi na ng'ombe anatoa maziwa mengi zaidi.

Lita kumi za maziwa zinanunua kilo 80 ya mahindi..
 
saud arabia nchi yote jangwa na huskii wananjaa na kulima wanalima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio robo ardhi ambayo ni arable land yote imechukuliwa na white settlers wanapanda maua kuuza kwao wakiwaacha wakenya 36% na njaa hapo unaona sawa
Hayo ni matatizo yetu waafrika, na si Kenya pekee..

Hushangai sisi kwa vivutio ni wapili duniani baada ya Brazil lakini tunachozalisha hakifanani na sifa tulizonazo.

Tuna Tanzanite, Dhahabu, Almasi lakini yametufaidisha kipi ambacho tunaweza kujivunia? Kahawa yetu (hasahasa inayolimwa Kilimanjaro, Arusha) ni kahawa bora kabisa duniani lakini unajua sasahivi zinang'olewa na kupandwa kabichi angali kuna nchi zinategemea kahawa kama zao lao kuu la biashara na linawalipa sana..
 
And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..

Who is smarter there? Maziwa je? Unajua wao mahindi yao hukatia ng'ombe yakiwa mabichi bado ndio huwa na proteins nyingi na ng'ombe anatoa maziwa mengi zaidi.

Lita kumi za maziwa zinanunua kilo 80 ya mahindi..
Jams na tomato source? Ni Tanzania ipi?

Tanzania ndio inaongoza kwa biashara ya soft drinks East Africa refer kwenye sakata la industrial sugar sasa sijui ni juice zipi kutoka Kenya zimeteka soko, usijesema cereals. Sababu market share yake hata sayona hamfikii japo East Africa azam ndio kinara
 
wangekua wanajeuri hio basi watu na mifugo isingekua inakufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
That's not a thing to joke mzee.. Hukusikia wagogo wanakula viwavi jeshi..
 
Sisi mbona madini yetu yote anayamiliki muzungu?
Hakuna madini anayomiliki mzungu, kwanza kwa takwimu zilizo wizara ya madini ni 20% ya jumla ya madini yote ndio yaliyochimbwa na sheria mpya ya natural resources ya 2018 imeipa Tanzania umiliki wa zaidi ya 30% kama stakeholder automatically without investing any penny na hapo bado kuna interests nyingi kwa Taifa sheria mpya imezingatia ambavyo vinalenga kwenye kulinufaisha Taifa zaidi.

So we still on the right track na tupo vizuri as long as ardhi ni mali ya umma na sio mali binafsi kama huko Kenya
 
Kwani wao hayo maua na chai hawalipwi kodi? Mbona unajichanganya?

Mchango wa madini tangia yameanza kuchimbwa hapa nchini ni aibu, wachana na blah blah unazoleta hapa. Nenda Botswana wakufundishe madini yanavyowalipa.

Rais wetu jana alikuwa analia exports wakubwa wa Tanzanite walikuwa wakenya na wahindi.
 
Utakua na matatizo sio bure

Pamoja na ufisadi uliokua kabla ya JPM kwenye sector ya madini lakini huwezi kulinganisha mchango wa migodi ya madini na maua ya kenya, nenda Geita na Kahama ile miji ipo vibrant sababu ya shughuli za mining hata pato madini yanavyochangia kwenye pato la Taifa huwezi linganisha na maua ya Kenya unless uwe umevuta bangi
 
Jams na tomato source? Ni Tanzania ipi?

Tanzania ndio inaongoza kwa biashara ya soft drinks East Africa refer kwenye sakata la industrial sugar sasa sijui ni juice zipi kutoka Kenya zimeteka soko, usijesema cereals. Sababu market share yake hata sayona hamfikii japo East Africa azam ndio kinara
Quality ya Ceres na vijuice vyetu haviendani kabisa. Pale Hyatt na Serena Azam Juice haziuzwi ila Ceres ipo.
 
Utakua na matatizo sio bure

Pamoja na ufisadi uliokua kabla ya JPM kwenye sector ya madini lakini huwezi kulinganisha mchango wa migodi ya madini na maua ya kenya, nenda Geita na Kahama ile miji ipo vibrant sababu ya shughuli za mining hata pato madini yanavyochangia kwenye pato la Taifa huwezi linganisha na maua ya Kenya unless uwe umevuta bangi
Sijalinganisha kodi zinazolipwa, nilichokwambia ni kama sisi tunaingiza pesa kwenye madini ya muzungu, hata wao pia wanaingiza kwenye chai na maua ya mzungu.

Silinganishi vipato, nalinganisha nadharia zako unazozileta hapa..
 
Maigizo ya rais kuwakoromea wanunuzi ni kitu nimezoea kuona, kwa jinsi mlizyo yaani mfupa uliomshinda fisi, Magufuli ameishia kukoromea kotekote lakini hali ni ile ile tangu mwanzo.
Halafu kilichomkuta Uhuru ni kipi labda unitaarifu maana sijui, nachofahamu ametoa agizo samaki wa Wachina wasitishwe, wana habari wakadakia na kusema China itajibu kwa kusitisha mikopo, serikali ya China ikawahi fasta kupinga kauli kama hizo kwamba haiwezi kusitisha mkopo.
Maigizo yame lipa, Korosho imeudhwa leo. Vipi maigizo ya Uhuru na samaki wa China! Yamelipa
 
And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..

Who is smarter there? Maziwa je? Unajua wao mahindi yao hukatia ng'ombe yakiwa mabichi bado ndio huwa na proteins nyingi na ng'ombe anatoa maziwa mengi zaidi.

Lita kumi za maziwa zinanunua kilo 80 ya mahindi..
Wewe peleka upumbavu ati kenya sells tomato n Juices to us! Which Kenya?
 
Hahahahahaha.. just hahahaha
Bora ujicheke.. ww umeenda hotel mbili una kuja na majumlisho. Juzi nilikua Zanzibar (home of 5* hotels) sikukosa Azam juice na wazungu waliku wana enjoy kitu cha African fruti. Inawezekana hotel ikawa na African fruti na ikakosa Ceres na kinyume chake pia. Hii inaweza kusababishwa na factors nyingi. Ila isiwe sababu ya kuja na mujumuisho yasiyo na mashiko.
 
Back
Top Bottom