joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hayo Magazeti niliyokutumia link yote ni magazeti ya Kenya, hao ndio wenye jukumu la kukusanya news na kuzisambaza ili Mimi na wewe tuweze kujua kinachoendelea.La kushangaza sioni starving Kenyans huku ila wewe ukiwa bongo unawaona. huu uchawi wenu si wa kuchezewa😀
Wewe unachekesha sana, kama unaishi Nairobi, yanayotokea Kisumu utayaonaje kama sio kupitia vyombo vya habari?, au hata yanayotokea hapo Nairobi, utayajua yote wewe mwenyewe?. Acha kupingana na ukweli, kuwa mpole Tafadhali katika hili.