joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hayo Magazeti niliyokutumia link yote ni magazeti ya Kenya, hao ndio wenye jukumu la kukusanya news na kuzisambaza ili Mimi na wewe tuweze kujua kinachoendelea.La kushangaza sioni starving Kenyans huku ila wewe ukiwa bongo unawaona. huu uchawi wenu si wa kuchezewa๐
Maneno ya kuambiwa haya, mtu anamzigo wa korisho wa mamilioni ya fedha, ameshidwa kuelewana bei na mteja aliyekuwa anataka kununua kwa bei ya chini, utasema huyo mkulima anateseka wakati bado ana mzigo usiooza kirahisi? Korisho ni biashara halali dunia nzima sio kama mirungi.Nimefuatilia sakata la hivi majuzi kuhusu korosho Tanzania na jinsi wakulima wanateseka hadi nikaona huruma.
Sijaelewa nini cha kuja kujifunza huko kama hamjawakwamua hao ndugu zenu kutoka kwenye lindi la umaskini.
Nionyeshe ni wapi wamepewa msaada?Unaumwa na ubongo wewe, husikii watu wanakabiliwa na njaa kila mwaka na serikali ya Kenya inapewa msaada ya chakula, husikii viongozi wa Kenya wakisikitika kutokana na aibu ya kupokea msaada wa chakula?, kama nchi ina uwezo wa kununua chakula haiwezi kukumbwa na balaa la njaa.
Njaa maana yake ni ukosefu wa chakula, bila kujali kama umezalisha au umenunua, nchi kama Dubai haizalishi hata gunia moja la chakula, umeshasikia wamekumbwa na njaa?
Turkish food aid a lifeline for starving KenyansNionyeshe ni wapi wamepewa msaada?
Siumwi ubongo, mimi sina chuki za kimaskini
Eti what they produce bla bla bla, mzungu ndio mwenye maua na mashamba ya chai, sasa ni lini mzungu alikula ugali?The surplus they got from what they produce is used to buy what they don't and left with a lot on pocket..
Ndio maana wanajeuri ya kununua mahindi kwa bei ya ghali kuliko serikali yenu tukufu..
All that useless thick harder rock desert land for what? ๐๐๐ข "trust land" funnyIli mtu asije akaleta longolongo zake kuhusu umiliki wa ardi ndio hii ramani.Hapo kwenye rangi ya njano ni 'trust land'. Ardhi ambayo ni ya wananchi wa Kenya, sio ya serikali wala ya watu binafsi, na inashikiliwa tu 'in trust' na serikali kwa niaba ya wananchi. Kwenye kijani kibichi ndio mali ya serikali. Kilichobaki kwenye rangi ya hudhurungi ndio ardi ambayo wananchi binafsi wanamiliki.
Wana irrigate kitu gani? Sababu all vegetables and fresh fruits they are importing from TanzaniaWakenya kwenye irrigation wako mbele yetu sana, sana
What number of refugees do you have compared to Tanzania?There a lot of refugees in Kenya what do they eat if it's not this food? Kenyans do have enough produce which can sustain them .that food aid act as a supplement
Ungefuatilia mpaka wakati JPM anawakoromea wanunuzi mpaka wakatii bei ya serikali alafu useme kama kuna kiongozi wa Kenya anaweza hata kuwaza kufanya hivyo.Nimefuatilia sakata la hivi majuzi kuhusu korosho Tanzania na jinsi wakulima wanateseka hadi nikaona huruma.
Sijaelewa nini cha kuja kujifunza huko kama hamjawakwamua hao ndugu zenu kutoka kwenye lindi la umaskini.
Its Kenya's land. The British in colonial times once wanted to establish the state of Israel right there. Tunisia, Egypt, Morroco all have land identical to that. Yet 50% of their population aren't poor like Tanzania is, with your huge arable land which is still being cultivated with medieval Jembes in this the year of our Lord.All that useless thick harder rock desert land for what? "trust land" funny
Be cultivated even by tooth but we never slept hungry and always we surpass on agricultural productions moreover the land is for the common mwananchi sio mali ya wachacheIts Kenya's land. The British in colonial times once wanted to establish the state of Israel right there. Saudia, Egypt, UAE all have land identical to that. Yet 50% of their population aren't poor like Tanzanians and their huge arable land which is still being cultivated with medieval Jembes in this the year of our Lord.
Ungefuatilia mpaka wakati JPM anawakoromea wanunuzi mpaka wakatii bei ya serikali alafu useme kama kuna kiongozi wa Kenya anaweza hata kuwaza kufanya hivyo.
Mlijitutumua kupiga pini samaki za mchina, kilichompata uhuru ni yeye mwenyewe anajua
Tumia tu kiswahili jombaa. Sasa kwani hiyo trust land inamilikiwa na nani? Hicho ndicho nilichotaka uelewe kupitia hiyo ramani. Propaganda za wanalumumba zinaendelea kuumbuka kila uchao. Hiyo shibe mnayosema mnayo huku 54.6% ya watanzania wakibaki kuwa masikini wa kutupwa ni jambo la kustaajabisha sana.Be cultivated even by tooth but we never slept hungry and always we surpass on agricultural productions moreover the land is for the common mwananchi sio mali ya wachache
Maigizo ya rais kuwakoromea wanunuzi ni kitu nimezoea kuona, kwa jinsi mlizyo yaani mfupa uliomshinda fisi, Magufuli ameishia kukoromea kotekote lakini hali ni ile ile tangu mwanzo.
Halafu kilichomkuta Uhuru ni kipi labda unitaarifu maana sijui, nachofahamu ametoa agizo samaki wa Wachina wasitishwe, wana habari wakadakia na kusema China itajibu kwa kusitisha mikopo, serikali ya China ikawahi fasta kupinga kauli kama hizo kwamba haiwezi kusitisha mkopo.
Hahaha to put you clear, I use whatsoever language I feel like to, then I have told you that the so called trust desert is the useless rocky substance which I don't even count as rubbish for a common mwananchi sijui mlilogwa na nani? Ile little fertile is for special people but that rubbish is for winning trust from Kenyan goonsTumia tu kiswahili jombaa. Sasa kwani hiyo trust land inamilikiwa na nani? Hicho ndicho nilichotaka uelewe kupitia hiyo ramani. Propaganda za wanalumumba zinaendelea kuumbuka kila uchao. Hiyo shibe mnayosema mnayo huku 54.6% ya watanzania wakibaki kuwa masikini wa kutupwa ni jambo la kustaajabisha sana.
saud arabia nchi yote jangwa na huskii wananjaa na kulima wanalima๐๐๐๐ hio robo ardhi ambayo ni arable land yote imechukuliwa na white settlers wanapanda maua kuuza kwao wakiwaacha wakenya 36% na njaa hapo unaona sawaSio kosa lao.. 3/4 ya ardhi yao ni infertile.. Imagine kama hiyo ingekuwa kwetu tungekuwaje.