wangekua wanajeuri hio basi watu na mifugo isingekua inakufa kwa njaaπππππππππThe surplus they got from what they produce is used to buy what they don't and left with a lot on pocket..
Ndio maana wanajeuri ya kununua mahindi kwa bei ya ghali kuliko serikali yenu tukufu..
Sisi mbona madini yetu yote anayamiliki muzungu?Eti what they produce bla bla bla, mzungu ndio mwenye maua na mashamba ya chai, sasa ni lini mzungu alikula ugali?
Alafu unataka serikali ya Tanzania inunue mahindi ipeleke wapi?
And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..Wana irrigate kitu gani? Sababu all vegetables and fresh fruits they are importing from Tanzania
Labda wapo mbele kwenye urinating chang'aa
Hayo ni matatizo yetu waafrika, na si Kenya pekee..saud arabia nchi yote jangwa na huskii wananjaa na kulima wanalima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio robo ardhi ambayo ni arable land yote imechukuliwa na white settlers wanapanda maua kuuza kwao wakiwaacha wakenya 36% na njaa hapo unaona sawa
Jams na tomato source? Ni Tanzania ipi?And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..
Who is smarter there? Maziwa je? Unajua wao mahindi yao hukatia ng'ombe yakiwa mabichi bado ndio huwa na proteins nyingi na ng'ombe anatoa maziwa mengi zaidi.
Lita kumi za maziwa zinanunua kilo 80 ya mahindi..
That's not a thing to joke mzee.. Hukusikia wagogo wanakula viwavi jeshi..wangekua wanajeuri hio basi watu na mifugo isingekua inakufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hakuna madini anayomiliki mzungu, kwanza kwa takwimu zilizo wizara ya madini ni 20% ya jumla ya madini yote ndio yaliyochimbwa na sheria mpya ya natural resources ya 2018 imeipa Tanzania umiliki wa zaidi ya 30% kama stakeholder automatically without investing any penny na hapo bado kuna interests nyingi kwa Taifa sheria mpya imezingatia ambavyo vinalenga kwenye kulinufaisha Taifa zaidi.Sisi mbona madini yetu yote anayamiliki muzungu?
Kwani wao hayo maua na chai hawalipwi kodi? Mbona unajichanganya?Hakuna madini anayomiliki mzungu, kwanza kwa takwimu zilizo wizara ya madini ni 20% ya jumla ya madini yote ndio yaliyochimbwa na sheria mpya ya natural resources ya 2018 imeipa Tanzania umiliki wa zaidi ya 30% kama stakeholder automatically without investing any penny na hapo bado kuna interests nyingi kwa Taifa sheria mpya imezingatia ambavyo vinalenga kwenye kulinufaisha Taifa zaidi.
So we still on the right track na tupo vizuri as long as ardhi ni mali ya umma na sio mali binafsi kama huko Kenya
Utakua na matatizo sio bureKwani wao hayo maua na chai hawalipwi kodi? Mbona unajichanganya?
Mchango wa madini tangia yameanza kuchimbwa hapa nchini ni aibu, wachana na blah blah unazoleta hapa. Nenda Botswana wakufundishe madini yanavyowalipa.
Rais wetu jana alikuwa analia exports wakubwa wa Tanzanite walikuwa wakenya na wahindi.
Quality ya Ceres na vijuice vyetu haviendani kabisa. Pale Hyatt na Serena Azam Juice haziuzwi ila Ceres ipo.Jams na tomato source? Ni Tanzania ipi?
Tanzania ndio inaongoza kwa biashara ya soft drinks East Africa refer kwenye sakata la industrial sugar sasa sijui ni juice zipi kutoka Kenya zimeteka soko, usijesema cereals. Sababu market share yake hata sayona hamfikii japo East Africa azam ndio kinara
Sijalinganisha kodi zinazolipwa, nilichokwambia ni kama sisi tunaingiza pesa kwenye madini ya muzungu, hata wao pia wanaingiza kwenye chai na maua ya mzungu.Utakua na matatizo sio bure
Pamoja na ufisadi uliokua kabla ya JPM kwenye sector ya madini lakini huwezi kulinganisha mchango wa migodi ya madini na maua ya kenya, nenda Geita na Kahama ile miji ipo vibrant sababu ya shughuli za mining hata pato madini yanavyochangia kwenye pato la Taifa huwezi linganisha na maua ya Kenya unless uwe umevuta bangi
Ceres ina quality ipi tofauti na African Juice? Packaging? Flavour? Ingredients? Sihitaji majibu jijibu mwenyewe.Quality ya Ceres na vijuice vyetu haviendani kabisa. Pale Hyatt na Serena Azam Juice haziuzwi ila Ceres ipo.
Kaulize hilo swali kwa 5* hotels..Ceres ina quality ipi tofauti na African Juice? Packaging? Flavour? Ingredients? Sihitaji majibu jijibu mwenyewe.
5 star hotels zipi haziuzi azam juice acha uongo!! Mnadanganyana vijiweni. Halafu ubora haupimwi kwa kuungalia kama bidhaa inauzwa hotelini.Kaulize hilo swali kwa 5* hotels..
Maigizo yame lipa, Korosho imeudhwa leo. Vipi maigizo ya Uhuru na samaki wa China! YamelipaMaigizo ya rais kuwakoromea wanunuzi ni kitu nimezoea kuona, kwa jinsi mlizyo yaani mfupa uliomshinda fisi, Magufuli ameishia kukoromea kotekote lakini hali ni ile ile tangu mwanzo.
Halafu kilichomkuta Uhuru ni kipi labda unitaarifu maana sijui, nachofahamu ametoa agizo samaki wa Wachina wasitishwe, wana habari wakadakia na kusema China itajibu kwa kusitisha mikopo, serikali ya China ikawahi fasta kupinga kauli kama hizo kwamba haiwezi kusitisha mkopo.
Hahahahahaha.. just hahahaha5 star hotels zipi haziuzi azam juice acha uongo!! Mnadanganyana vijiweni. Halafu ubora haupimwi kwa kuungalia kama bidhaa inauzwa hotelini.
Wewe peleka upumbavu ati kenya sells tomato n Juices to us! Which Kenya?And then they are selling jams, tomatoes and juice to us..
Who is smarter there? Maziwa je? Unajua wao mahindi yao hukatia ng'ombe yakiwa mabichi bado ndio huwa na proteins nyingi na ng'ombe anatoa maziwa mengi zaidi.
Lita kumi za maziwa zinanunua kilo 80 ya mahindi..
Wacha ufala!Kaulize hilo swali kwa 5* hotels..
Pale Hyatt, Azam juice ipo? HeheheheWacha ufala!
Bora ujicheke.. ww umeenda hotel mbili una kuja na majumlisho. Juzi nilikua Zanzibar (home of 5* hotels) sikukosa Azam juice na wazungu waliku wana enjoy kitu cha African fruti. Inawezekana hotel ikawa na African fruti na ikakosa Ceres na kinyume chake pia. Hii inaweza kusababishwa na factors nyingi. Ila isiwe sababu ya kuja na mujumuisho yasiyo na mashiko.Hahahahahaha.. just hahahaha