Mimi Ketchup nayotumia ni Peptang na Juice ni Ceres..Wewe peleka upumbavu ati kenya sells tomato n Juices to us! Which Kenya?
Kuna tofauti kati ya ketchup na tomato! Fala wewe kumbe unamaanisha ketchup dabaga all day!Mimi Ketchup nayotumia ni Peptang na Juice ni Ceres..
Mostly wenye uwezo hutumia hizo.. Japo mimi sina uwezo ila situmia less quality products.. Tomato za kwenye vibanda vya chipsi hahahahah
Peptang ni yakawaida sana ata bei yake na ujazo wake ni kama umepewa offer vile. Halafu unasema wenye uwezo ndiyo wanatumia!! Wewe jamaa unapenda sana ku conclude hili litakua tatizo lako kubwa. American Garden ndiyo inabei sasa na wenye pesa ndiyo wanatumia, ata mimi natumia hiyo ingawa mfuko wangu ni tia maji tia maji [emoji2]Mimi Ketchup nayotumia ni Peptang na Juice ni Ceres..
Mostly wenye uwezo hutumia hizo.. Japo mimi sina uwezo ila situmia less quality products.. Tomato za kwenye vibanda vya chipsi hahahahah
Flower farms are concentrated in Kajiado east outskirts of NRB and Naivasha which are grasslandssaud arabia nchi yote jangwa na huskii wananjaa na kulima wanalima😂😂😂😂 hio robo ardhi ambayo ni arable land yote imechukuliwa na white settlers wanapanda maua kuuza kwao wakiwaacha wakenya 36% na njaa hapo unaona sawa
American garden mnatumia nyie matajiri.. Kitu kinapanda ndege teh teh teh..Peptang ni yakawaida sana ata bei yake na ujazo wake ni kama umepewa offer vile. Halafu unasema wenye uwezo ndiyo wanatumia!! Wewe jamaa unapenda sana ku conclude hili litakua tatizo lako kubwa. American Garden ndiyo inabei sasa na wenye pesa ndiyo wanatumia, ata mimi natumia hiyo ingawa mfuko wangu ni tia maji tia maji [emoji2]
Hahahaaa..American garden mnatumia nyie matajiri.. Kitu kinapanda ndege teh teh teh..
Sie tia maji tunatumia Peptang, kinapanda roli na mabasi tu
Yaani unafananisha Ceres na hii?Mimi Ketchup nayotumia ni Peptang na Juice ni Ceres..
Mostly wenye uwezo hutumia hizo.. Japo mimi sina uwezo ila situmia less quality products.. Tomato za kwenye vibanda vya chipsi hahahahah
JPM anayarudisha!Sisi mbona madini yetu yote anayamiliki muzungu?
😀 hawa watu hunishtua sana, wanashindwa vita na mtu mwenye mguu mmojaAcha turudi kwenye jeografia ya darasa la tatu. Hii ndio nchi ambayo huwa inawapiga bao kila uchao.Hilo hapo kwenye rangi ya kahawia ni jangwa.
Tuna matunda mengi sana lakini quality ya Juice zetu zinasikitisha..Yaani unafananisha Ceres na hii?
Hivi quality ya juice inapimwa kwa kutumia nini?, is it mensurable au kila MTU anaweza kuamua vile aonavyo?Tuna matunda mengi sana lakini quality ya Juice zetu zinasikitisha..
Sawa mkuuHivi quality ya juice inapimwa kwa kutumia nini?, is it mensurable au kila MTU anaweza kuamua vile aonavyo?
Tupe jibu quality ya juice inapimwa na nn? Una uFala flani ndo maana tunakuuliza!Sawa mkuu
Keyboard warrior, it's weekend natuliza akili yangu poolside na Gordon's with some lemons and lots of ice..Tupe jibu quality ya juice inapimwa na nn? Una uFala flani ndo maana tunakuuliza!
Asante sana MKUU, tumekuelewa. Sasa tumeelewa kipimo unachotumia kupimia quality ya juice.Keyboard warrior, it's weekend natuliza akili yangu poolside na Gordon's with some lemons and lots of ice..
Keyboard warrior, be informed mnada wa kwanza wa korosho zimeuzwa chini ya tani elfu 5 tu. Out of malaki ya matan.
Keyboard warrior, be informed, Export Co. inanunuaga hadi Tan 10,000 kwa msimu juzi kanunua tan 300 tu.
Keyboard warrior, have a nice weekend!