Local Transport Card: Hii itumike nchini pekee

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !

Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).

Hii kadi (LTC) itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.

1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya kwenda mikoani.

2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.

3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.

4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.

5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.

NB

Local Transport Card (LTC) ni njia salama na sahihi kwa usafiri wa umma hapa nchini.
(Pia kwa kutumia tu mfano; Ikapendekezwa Tsh.10,000/= iwekwe kama kifungua akaunti na fedha hii haitarudishwa kabisa na abiria anapaswa awe na akiba isiyopungua kiasi flani kwenye akaunti yake ya kadi; kwa idadi ya watu milioni 40, unahisi sekta ya usafiri itajikusanyia mapato kiasi gani?, tuchukue hatua.)

Cc
TRA
LATRA
National Institute of Transport (NIT)
Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)
Wizara ya Uchukuzi
TAMISEMI
Ofisi ya Waziri Mkuu
Ofisi ya Raisi

Karibu.
 
Very good point.

Imagine ukiwa dar, una kadi ya TFF ya kuingilia usalama wa Taifa, una kadi ya Mwendokasi, Wengine tuko na prepaid cards ambazo nazo malipo yake ni very limited.

Ni bola tuwe na single payment gate away, ambapo vendors yeyote anae taka kufanya malipo kwa njia ya card atumie mfumo unao somana na hyo card.
 
Lile Nyomi la Gongo la Mboto ndio uende na kadi yako?

Na kwa nchi hii iliyojaa ghilba na utapeli, wenye madaladala binafsi wanaweza jikuta wanadai pesa zao mpaka wasage meno.

Serikali ya nchi hii kwa kukwapua pesa za taasisi hasa kipindi cha campaign, itaenda kukwapua hizo pesa zote kutoka huko huko zinakupitia kama ni bank ama kwenye simu.
 
Unamwambia Bodaboda awe na scanner ya kuweza kuscan ili apate pesa zake ? Who is going to cover the costs ?

Hii kitu kama ikiwa viable ni rahisi sana ni kwa vyombo husika vifanye uamuzi wala hakuna sababu ya scanner ni kutumia tu simu yako kwa msaada wa mitandao ya simu....

By the way Bajaji nyingi sasa hivi zimeingia mkataba na MNB na wana LIPA za NMB zenye scan code hivyo kama hauna pesa unascan (hio ilikuwa ni initiative ya Bajaji na NMB) as an alternative
 
Itasaidia kina Nani hao?
Serikali?
Wamiliki wa Vyombo vya Moto?
Madereva na makondakta?
Hii ni faida kwa wote.
1. Serikali: TRA na Halmashauri watatoza na kupata haki yao kwa urahisi (moja kwa moja)
2. Wamiliki wa vyombo: Watajua mapato halisi ya vyombo vyao kwa siku.
3. Madereva & Makondq: Watazidi kuboresha na kuongeza ujuzi wao katika kazi kwa kupunguziwa usumbufu toka kwa abiria, mamlaka za kiserikali na matajiri wao kuhusu hesqbu.
 
Itawasaidia wananchi kuacha kutembea na hela mkononi, Na kufanya malipo salama

Kama Pesa inaweza kuibiwa Kwa nini usiamini hata hiyo Kadi inaweza kuibiwa ukizingatia kîla Siku Mtu yupo Barabarani?

Kwa mfano Mtu anapanda kitu cha Sinza Mori Kisha anashuka kitu kinachofuata cha Sinza Kwaremi ambacho NI dakika Moja Mpaka Mbili Kwa gari. Huoni kama kutakuwa na upotevu wa muda?
 
Lile Nyomi la Gongo la Mboto ndio uende na kadi yako?

Na kwa nchi hii iliyojaa ghilba na utapeli, wenye madaladala binafsi wanaweza jikuta wanadai pesa zao mpaka wasage meno.

Serikali ya nchi hii kwa kukwapua pesa za taasisi hasa kipindi cha campaign, itaenda kukwapua hizo pesa zote kutoka huko huko zinakupitia kama ni bank ama kwenye simu.
Wizi hautakuwepo maana hakuna mwenye uwezo wa kuiba kadi ya mtu maana itakuwa na Jina, Anwani, Simu namba na Sura bro
 
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !

Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).

Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.

1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.

2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.

3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.

4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.

NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.

5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.

Karibu.
Umeangalia upande mmoja TU wa ustaarabu,,Kuna upande WA pili jamii unayoishi ustaarsbu upo,vipi pia kuhusu usalama na pia mifumo bongo ikoje?

Naungana na ww kwa wazo zuri,lakini najaribu kujenga hoja pia kwa maswali hapo juu
 
Boss hii ni mwendo wa scanning tu. Huo muda unapotezwa wapi
 
Umeangalia upande mmoja TU wa ustaarabu,,Kuna upande WA pili jamii unayoishi ustaarsbu upo,vipi pia kuhusu usalama na pia mifumo bongo ikoje?

Naungana na ww kwa wazo zuri,lakini najaribu kujenga hoja pia kwa maswali hapo juu
Ndio zije sasa hizo kampuni za IT zilizo sahihi na zenye uwezo wapige kazi tufurahie maendeleo yetu
 
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !

Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).

Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.

1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.

2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.

3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.

4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.

NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.

5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.

Karibu.
Nyongeza hapa mkuu. Matumizi ya NFC cards. Simu janja kibao sasahivi zina support NFC ilikuwa ni jambo rahisi sana kubeba card ni ishu za kizamani sana dunia iko kiganjani ulipo simu yako ipo na wewe ni kiasi cha kutengeneza app ya malipo iwe na IOS na android app. Plus POS zake, raia tuna download app tuna weka hela kwenye wallet za hii Local Payment App ina kuwa mwendo wa kutap simu zetu kwenye POS za watoa huduma kama daladala, mwendokasi, dukani etc. Hii inge punguza kasi sana, currently nilikuwa na pambana ku intergrate N card kwenye simu ili fail kz IOS zina issue dynamic keys while Ncard ni static hii ingekubali means card ya Ncard ningeacha tumia ningebaki na punch kwa kutumia simu yangu tu. Hii ingeleta mapinduzi makubwa sana kwenye cashless society kz karibu kila mtu sasa ana tumia android phone.
 
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !

Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika kutoa pesa kwenda kwenye vyombo husika (Magari au Kampuni ya Usafiri wa Umma).

Hii kadi itumike katika vyombo vyote vya Usafiri wa Umma hapa nchini kuanzia Bodaboda, Bajaji, Daladala na Mabasi ya Mikoani.

1. Kwa kupitia njia hii itapunguza sana usumbufu katika usafiri wa Umma kuanzia Daladala za mitaani, Magari ya Wilayani na yale ya kwenda mikoani.

2. Tutakuwa tumeondoa kabisa changamoto ya usumbufu kwa mwananchi kutembea na fedha nyingi atakapo kusafiri.

3. Tutaimarisha Usalama wa nchi kwa Serikali, Abiria na Wamiliki wa vyombo vya Usafiri.

4. TRA mtakusanya mapato yenu kwa njia rahisi sana sambamba na nyie halmashauri husika mliopo maeneo husika.

NB
Malipo salama kwa maendeleo yetu sote.

5. Tutakuwa watu waliostaarabika, tutalindana utu wetu na tutajipatia maendeleo kwa haraka.

Karibu.
Bodaboda na bajaji! Sijui skana watazitunza wapi huku vumbi, upepo, jua na mvua ni vyao.
Daladala zetu unajua au kama haujui huwa zinajaza abiria kiasi hata simu binafsi inakosa nafasi. Hebu fafanua haya.
 
Wataweza tu. Unajua mwanzo huwa mgumu.
Swali jepesi, unaweza vipi kufanya mawasiliano kwa njia ya simu pasipo Simu Card na Simu Kifaa. Hii ndio kitatakiwa kiwapate hao maafisa Usafirishaji.
 
Back
Top Bottom