Locations zenye idadi kubwa ya watu Dar

Locations zenye idadi kubwa ya watu Dar

Habari za muda huu wana jamii forum

Nahitaji mnisaidie tafadhalini,

Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu ili nifungue uwakala wa pesa, kama m pesa, tigo pesa, airtel money, pia uwakala wa benk.

Sehemu nayohitaji napenda fremu nitakayoipata iwe kubwa maana nataka kuweka partition za vyumba vidogo dogo ili kila mteja ahudumiwe kwa nafasi, bajeti yangu ya fremu ni kuanzia 200k-500k,,,, Naomba kwa anaejua anisaidie location hiyo, zawadi ya shukurani itatolewa

NATANGULIZA SHUKRANI
Mnymla ndo kuna popul 24/7 au mbgala
 
Huku kwetu Usangi Bank hamna kuna jamaa anapiga hela kinoma anauza umeme, vocha, huduma zote za pesa, ni wakala wa bank maarufu mwisho wa mwezi wafanyakazi na wastaafu wanapanga foleni. Jaribu kufikria nje ya mji.
kuna biashara gani pale Usangi? Benki wanaangalia mzunguko wa pesa, Mwanga mjini yenyewe ina benki mbili tu NMB na Mwanga community Bank
 
Habari za muda huu wana jamii forum

Nahitaji mnisaidie tafadhalini,

Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu ili nifungue uwakala wa pesa, kama m pesa, tigo pesa, airtel money, pia uwakala wa benk.

Sehemu nayohitaji napenda fremu nitakayoipata iwe kubwa maana nataka kuweka partition za vyumba vidogo dogo ili kila mteja ahudumiwe kwa nafasi, bajeti yangu ya fremu ni kuanzia 200k-500k,,,, Naomba kwa anaejua anisaidie location hiyo, zawadi ya shukurani itatolewa

NATANGULIZA SHUKRANI
gongo la mboto na mombasa
 
manzese
 
Back
Top Bottom