jingoloji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 449
- 544
Kwetu Kilimanjarousangi ya mkoa gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu Kilimanjarousangi ya mkoa gani mkuu?
[emoji106]Kwetu Kilimanjaro
Mnymla ndo kuna popul 24/7 au mbgalaHabari za muda huu wana jamii forum
Nahitaji mnisaidie tafadhalini,
Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu ili nifungue uwakala wa pesa, kama m pesa, tigo pesa, airtel money, pia uwakala wa benk.
Sehemu nayohitaji napenda fremu nitakayoipata iwe kubwa maana nataka kuweka partition za vyumba vidogo dogo ili kila mteja ahudumiwe kwa nafasi, bajeti yangu ya fremu ni kuanzia 200k-500k,,,, Naomba kwa anaejua anisaidie location hiyo, zawadi ya shukurani itatolewa
NATANGULIZA SHUKRANI
kuna biashara gani pale Usangi? Benki wanaangalia mzunguko wa pesa, Mwanga mjini yenyewe ina benki mbili tu NMB na Mwanga community BankHuku kwetu Usangi Bank hamna kuna jamaa anapiga hela kinoma anauza umeme, vocha, huduma zote za pesa, ni wakala wa bank maarufu mwisho wa mwezi wafanyakazi na wastaafu wanapanga foleni. Jaribu kufikria nje ya mji.
gongo la mboto na mombasaHabari za muda huu wana jamii forum
Nahitaji mnisaidie tafadhalini,
Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu ili nifungue uwakala wa pesa, kama m pesa, tigo pesa, airtel money, pia uwakala wa benk.
Sehemu nayohitaji napenda fremu nitakayoipata iwe kubwa maana nataka kuweka partition za vyumba vidogo dogo ili kila mteja ahudumiwe kwa nafasi, bajeti yangu ya fremu ni kuanzia 200k-500k,,,, Naomba kwa anaejua anisaidie location hiyo, zawadi ya shukurani itatolewa
NATANGULIZA SHUKRANI
manzeseHabari za muda huu wana jamii forum

Msikini mjanja wazo hapa ni pasipo na bank pana fursa.kuna biashara gani pale Usangi? Benki wanaangalia mzunguko wa pesa, Mwanga mjini yenyewe ina benki mbili tu NMB na Mwanga community Bank