Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

 
2Γ—3 [emoji23][emoji23] hapo unaweza ukaishiwa maji mwilini

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
6x30 =180 ushindi huu unazani ni mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha akimbie tu.
Kuna jamaa yangu alienda kwa demu wake, akakaa huko wiki alivyorudi bhna alikua hafai. Alipata dehydration ikabidi awekewe drip ya maji [emoji23][emoji23] alikaa ndani wiki hatoki nje . Ile kitu inaweza kukuua ukifanya sifa.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Dehydration [emoji15] alifanya chakula nn?
 
Hili tukio angekuwa kalifanya mwanaume dunia yote ingesimama na kumrushia kila lililobaya ila kwa sababu limefanywa na mwanamke linaonekana kama utani vile.

Ila baharia katuangusha sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu hyo jamaa siyo mjinga atakufa halafu upande mwingine its just like slave sex ana spend nguvukubwa kumfiksha mwanmke type hyo pasipo na support ya tools nyingne sio mchechzo mchzo ,,ilibid akutane na wakina mudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚duh hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…