Lodge chini ya 10000 tujuzane wapendwa....

Lodge chini ya 10000 tujuzane wapendwa....

Sasa wewe unataka chimbo la kunguni mixer kupigwa chabo sio lodge.
Mkuuu chabooo kila sehemu

Pale mapambano kuna Lodge nzuri sitaji jina 20000. Siku nkakesha na mzigo saa 7 nagonga nkaona vijiti vinasukumwaaa pazia linasogea acha kabisa hataree nkazima taaaa
A
Shida moja wengine feelings mpaka tuone kama Thomas balaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom