Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tafta hela usiende kutmbana kwa mateso namna hio. Ile ni starehe kama kula tu, kuna tofauti ya kulia kwenye sahani ya dongo na sahani ya karatasi ile disposable..wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa
Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa