Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko huko unapata kaswende 😂😂Lodge kunguni hizo.
Choo nje10 k itakua self hio
Chanika zipo kibao.wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa
Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa
Unaonekana kicheche sana wewe.Wahuni sio watu
Nilikunywa sehemu kawee nikakaona katoto kamoja kula wine nkaulizia Lodge kakaniambia njoo nikupeleke ya bk 5 naingia ndan naona gorofa alijaisha kuna chumba jamaa kaweka godoro kama 3 unagonga na mwenzio anagonga pemben nyege zikantoka gafla nkampa nk 3 yake loh
Hizi nyumbaaa nasemaa kabla ya kuingia zinahitaji maombii sanaa ukichunguza sana
Balaa Sanaa izo Rest house za Bei chee.Kuna mwamba alisema humu, kaenda mkoa kakuta kitanda kama kaburi, alishusha godoro akadozi chini.
Chanika mwisho paleKituo gan mkuu nampanga wa kuhamia sehemu hizo kama wik 2 nahitaji kupajua
Hapo ni kula kunywa kunya na kuchezaThx mwamba na bei zake sh ngapi