Tafta hela usiende kutmbana kwa mateso namna hio. Ile ni starehe kama kula tu, kuna tofauti ya kulia kwenye sahani ya dongo na sahani ya karatasi ile disposable..wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa
Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa
Tulia wewe 😆😆Zipo nyingi mitaa hiyo 😅😅😅
Kongowe ya Kibaha au karibu na Mwandege?Hapo ungewacheki boda maana mi naijua iko Kongowe inaitwa White House kaghorofa kamoja wana 10k 15k na 20k
Shuka maji chumvi pale. Mguse boda boda yeyote mwambie nipeleke camp benard🤣Mpwaa unashuka kituo gsn ukipanda basi na n sh ngapi
Kongowe ya Mbagala, karibu na Mwandege.Kongowe ya Kibaha au karibu na Mwandege?
Vitanda vya makaburi na vikiwa vya mbao Chaga zinatikisika mpaka nje wanasikia..Sinza overrated.
Tafuta za nje ya mji, na mbali na rami (ndani ndani).
Kuna mwamba alisema humu, kaenda mkoa kakuta kitanda kama kaburi, alishusha godoro akadozi chini.Vitanda vya makaburi na vikiwa vya mbao Chaga zinatikisika mpaka nje wanasikia..
Quoted from afisa mwandamizi senior mstaafu.
7-10Thx mwamba na bei zake sh ngapi
Ngapii mkuuKongowe ya Mbagala, karibu na Mwandege.
Ukitokea Mbagala baada ya daraja kuna kituo kinaitwa Mzinga, then Bakwata, kisha kanisani hafu Kongowe mwisho.
Sasa hapo Kongowe Mwisho, kama mita 100 kabla, kushoto kwako kuna kaghorofa unakaona ata ukiwa road.
Hamna cha parking wala nn lakini.
😅😅Tulia wewe 😆😆
Umezijulia wapi we kishua
Tuachie sisi izo
Mjini noma sana[emoji1][emoji1]umenikumbusha miaka saba iliyopita niliingia jiji moja hivi ,nikawa sijui lodge zinapatika wapi nikaona isiwe tabu ngoja niulize kwa msela mmoja hapo mtaani. Jamaa akasema kama unataka chumba nikupe geto langu nipe hela kadhaa ambayo tulikubaliana.Kuna moja sinza nimeenda juzi nkakuta nyumba ya mtu nkachokaih
Mkuu kuna jirani hapa mbezi beach alifiwa na mkewe ana nyumba nzuri kubwa wakaombq nkachukue maiti siku tunaingia chumban sikuamini katengeneza shimokama kaburi kweka marumara na godoro chini akiamkq anapanda kangazi na n mfanyabiashara mkubwa toka sikuhio haya akinagixia bia zake sinywi namwogopa balaa kama ukomaKuna mwamba alisema humu, kaenda mkoa kakuta kitanda kama kaburi, alishusha godoro akadozi chini.
Hivi kongowe inn ni 15000 enhe🥴🥴Kongowe ya Mbagala, karibu na Mwandege.
Ukitokea Mbagala baada ya daraja kuna kituo kinaitwa Mzinga, then Bakwata, kisha kanisani hafu Kongowe mwisho.
Sasa hapo Kongowe Mwisho, kama mita 100 kabla, kushoto kwako kuna kaghorofa unakaona ata ukiwa road.
Hamna cha parking wala nn lakini.
Wahuni sio watuMjini noma sana[emoji1][emoji1]umenikumbusha miaka saba iliyopita niliingia jiji moja hivi ,nikawa sijui lodge zinapatika wapi nikaona isiwe tabu ngoja niulize kwa msela mmoja hapo mtaani. Jamaa akasema kama unataka chumba nikupe geto langu nipe hela kadhaa ambayo tulikubaliana.