Lodge chini ya 10000 tujuzane wapendwa....

Unaonekana kicheche sana wewe.
Afu huna hela mpaka mtu anakukadilia akupeleke lodge ya buku 5? Na wew unanyanyuka
 
Kuna mwamba alisema humu, kaenda mkoa kakuta kitanda kama kaburi, alishusha godoro akadozi chini.
Balaa Sanaa izo Rest house za Bei chee.
Jamaa alikosa namna kabisa kabisa akaona isiwe shida ashushe godoro Chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…