King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Singida unadhani kuna fursa gani?Acha uongo, we umelala guest..... Halafu unasema lodge... Singida
Zipo nyingi tu, 1.Ndemana Lodge ( Ipo barabara ya Arusha, mita chache kutoka stand misuna, upande wa kushoto)
2. City Garden, ipo barabara ya Dom karibu na skyway
3. BBC mpya ipo maeneo karibu na kibaoni shule ya nyingi mita chache kutoka barabara kuu ya singida-mwanza.... (Hilo eneo lina lodge nyingi sana)