Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Countrywide 🀣
 
Sasa wanagu wa kitonga mtelezo mkuje hapa.

Safi lodge ipo ubungo maziwa ndani ndani kidogo,chukua boda,pale ni 10k tu,room safi mnoo ,hewa ipo nzuri,kuna ustarabu sana.ni self hakuna tv ni feni ila kuna hewa nzur mana kuna miti mingi upande wa bonde la mto .
Pale mm niko na room,nikipiga simu tu utasikia I haina mtu njoo tu mkuu
 
Hii nitaitafuta huwa nikiwa Dom napendelea Queen lodge pale Kisasa lakini B. Fast zao mzozo.
Room 40 na 50, japo pametulia lkn huduma zao zimepooza sana.

Dar naipenda Shamool hotel pembeni ya Lion hotel. B. Fast zao ni baabkubwa nafikiri sawa na hiyo Kidia yako.
Ni sehemu tulivu sana kwa ndani.
 
una namba zao mkuu?
 
Bluebird ni Hotel iliotimamu sio hotel kama za Keko chumba kidogo kqmq stoo 🀣🀣🀣
 
mkuu sambaza upendo wa mmakonde maana sis wengine matomaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…