Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Hapo Blue Bird nilitandika chuma moja ya NIMR. Mambo yalikua swafi kabisa.

Ila walinipiga 60,000.

Halafu wajanja sana, ukipiga simu jikoni anapokea mdada sauti matata anakubebisha kabisa, unasema yeess ngoja alete msosi nimpange. Chakula kinaletwa na mbaba mtu mzima kweli kweli. Halafu hacheki
Countrywide 🤣
 
Sasa wanagu wa kitonga mtelezo mkuje hapa.

Safi lodge ipo ubungo maziwa ndani ndani kidogo,chukua boda,pale ni 10k tu,room safi mnoo ,hewa ipo nzuri,kuna ustarabu sana.ni self hakuna tv ni feni ila kuna hewa nzur mana kuna miti mingi upande wa bonde la mto .
Pale mm niko na room,nikipiga simu tu utasikia I haina mtu njoo tu mkuu
 
Kidia hotel Dodoma haina mpinzani.

Room ni 20 kwa 40 na 60.

Asubuhi breakfast yake ni buffee unajisevia mpaka ushibe na majagi ya juice unajimimia tu.

Ukiwa na safari ya Dodoma inatakiwa ubook before inagombewa sana na wasafiri.

Msosi room service ugali na sato rost unaweza usimmalize Sato.
Hii nitaitafuta huwa nikiwa Dom napendelea Queen lodge pale Kisasa lakini B. Fast zao mzozo.
Room 40 na 50, japo pametulia lkn huduma zao zimepooza sana.

Dar naipenda Shamool hotel pembeni ya Lion hotel. B. Fast zao ni baabkubwa nafikiri sawa na hiyo Kidia yako.
Ni sehemu tulivu sana kwa ndani.
 
Kidia hotel Dodoma haina mpinzani.

Room ni 20 kwa 40 na 60.

Asubuhi breakfast yake ni buffee unajisevia mpaka ushibe na majagi ya juice unajimimia tu.

Ukiwa na safari ya Dodoma inatakiwa ubook before inagombewa sana na wasafiri.

Msosi room service ugali na sato rost unaweza usimmalize Sato.
una namba zao mkuu?
 
Hapo Blue Bird nilitandika chuma moja ya NIMR. Mambo yalikua swafi kabisa.

Ila walinipiga 60,000.

Halafu wajanja sana, ukipiga simu jikoni anapokea mdada sauti matata anakubebisha kabisa, unasema yeess ngoja alete msosi nimpange. Chakula kinaletwa na mbaba mtu mzima kweli kweli. Halafu hacheki
Bluebird ni Hotel iliotimamu sio hotel kama za Keko chumba kidogo kqmq stoo 🤣🤣🤣
 
Mwenye kujua Pataya Guest ya Riverside Bei zile room kubwa sasa hivi sh ngapi au Bei zao sasa zikoje? Dadeki kuna lodge raha sana, miaka hio nililala Masasi, UK Lodge vitanda vyake dadeki nlikutana na mmakonde mnyonya pumbu acha mmakonde abaki mmakonde. Shukrani
mkuu sambaza upendo wa mmakonde maana sis wengine matomaso.
 
Back
Top Bottom