Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Countrywide 🤣Hapo Blue Bird nilitandika chuma moja ya NIMR. Mambo yalikua swafi kabisa.
Ila walinipiga 60,000.
Halafu wajanja sana, ukipiga simu jikoni anapokea mdada sauti matata anakubebisha kabisa, unasema yeess ngoja alete msosi nimpange. Chakula kinaletwa na mbaba mtu mzima kweli kweli. Halafu hacheki