Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Dah officialBossmtoto itoshe kusema wewe ni mhuni mwenzangu .

Nimejikuta machozi yamenilenga maana hakuna lodge uliyotaja ambayo sijalala mwisho nimeona kuwa sina sababu ya kuendelea na anasa za dunia .

Ikiwa kuna mtu unajihisi unamtumikia Mungu katika roho na kweli nakuomba njoo niokoe mimi Mzinzi na malaya niliyekubuhu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Kaka kaka unaniacha mwenyewe kwenye uzinzi kaka [emoji28]. Sijapenda. Kaka mimi nimefika viwango vya kuchukua apartment kaka, unakaa na mtoto ndani anakupikia unakula na unamla [emoji16]
 
Kaka kaka unaniacha mwenyewe kwenye uzinzi kaka [emoji28]. Sijapenda. Kaka mimi nimefika viwango vya kuchukua apartment kaka, unakaa na mtoto ndani anakupikia unakula na unamla [emoji16]
Ngoja nisikutenge kaka .kwakuwa wewe umefika viwango vya Apartment wacha niwakumbuke watoto wa Mbwa ili nao wapate kwa kukimbilia .

KEKO
KING PALACE GUEST HOUSE _ gharama ni 7000/8000 japo watoto wazuri wapo hapo masaa 24 , ni wewe na maokoto yako .iko karibu na kituo kidogo cha polisi.

SANITATION GUEST HOUSE_ beba 15000 yako , iko mkabala na Keko modern furniture kwa wenyeji wa keko .

MADINA GUEST HOUSE _ hii iko ndani kidogo kama unatokea geti la pili la DUCE gharama yake ni elfu kumi tu .Gharama ni 10000

MALAIKA GUEST HOUSE _ gharama ni 10000 , ipo barabara ya Chang'ombe mtaa unaitwa Sigara , hapa ni patulivu sana .Watoto wa chuo cha DUCE na Uhasibu wanauza bei chee , elfu nne yako unaweza kulala na mtoto mpaka kuna kucha .

TEMEKE
WASENZWE INN _ hii iko hapo Sudan karibu na shule ya sekondary ya Miburani , hapo watoto wazuri unajiokotea pale Sudan hotel unakuja kulinga .Gharama ni 15000

SEMZABA LODGE _ hii iko hapo karibu na kisoko cha sterio hapo , ni 20000 ila hiduma safi na pia kuna kiswimming cha kuzugia

Hapo ni wanangu mnaojitafuta huko patawafaa ila madon tukutane huku .

KIGAMBONI

WAKAYA LODGE _ iko barabara ya kwenda kambi fulani ya jeshi nimeisahau jina ila ni kama unatokea ferry hapa nenda na 40000/TSh utaishi vizuri , wachuchu wapo wa kutosha ni wewe na pesa yako .

KINGLACE LODGE _ hapa uende na 50000/= huduma ni nzuri na parking safi kabisa , ipo karibu na yule tajiri wa zama zile bwana
Ndama yaani karibu na kwake .

Huko ni Dar es salaam , nimechoka kutype japo sehemu ni nyingi njoo basi huku kwa akina Mwaisa .

Silvant INN _ gharama 25000 , ipo Esso iko upande wa wa kushoto kama unatokea Mbalizi .

Nedlack Inn _ gharama ni 55000 ipo maeneo ya Mafiat njia panda ya kwenda Airport hapo utapata vyumba na wachuchu kutokea hapo Mbeya Carnival

Silent Note lodge _ iko Uyole sehemu wanaita kijumba cha Nyasi , gharama ni 45000 hapo utapata wachuchu wote wanapatikana

Mwalumengese Inn _ hapo utawapata watoto wazuri ila lodge zipo , gharama ni 25000 iko Esso .

Mapacha Lodge _ iko Mbalizi gharama ni 20000 hapo utapata wachuchu lakini pia utaweza kupata kinywaji kwenye lounge yao .

Kwa leo naishia hapa.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Dah officialBossmtoto itoshe kusema wewe ni mhuni mwenzangu .

Nimejikuta machozi yamenilenga maana hakuna lodge uliyotaja ambayo sijalala mwisho nimeona kuwa sina sababu ya kuendelea na anasa za dunia .

Ikiwa kuna mtu unajihisi unamtumikia Mungu katika roho na kweli nakuomba njoo niokoe mimi malaya niliyekubuhu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile
Hapo sasa mkuu unatafuta kufyonzwa ela na mapastafeki maana hata hum lazma watakuwepo.

iyo kitu hakuambii mtu uache hlf unaamka asbh umeacha. inabd uongee na kutubu kwa muumbawako akusaidie utambue kusudi lake la kukuleta duniani umlilie toka ndani ya moyo wako akurudishe kwene mistari ulioonyooka unaomwelekea yeye.

ila hata uko kutambua kuwa hauko seem sahihi ni hatua sana hngera mkuu.
 
Shukrani sana mkuu , moyo unanishuhudia kuwa nakosea

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Aisee wapi kuna breakfast kali? Maana muhimu kurudisha nishati uliyopotea usiku mzima
Kidia hotel Dodoma haina mpinzani.

Room ni 20 kwa 40 na 60.

Asubuhi breakfast yake ni buffee unajisevia mpaka ushibe na majagi ya juice unajimimia tu.

Ukiwa na safari ya Dodoma inatakiwa ubook before inagombewa sana na wasafiri.

Msosi room service ugali na sato rost unaweza usimmalize Sato.
 
Haya ndugu tukija dodoma tutapajaribu
 
Kuna pale BILL TRACKER chumba 24hrs nililala kwa 25,000 vitu vyote unafanya ndani kwa ndani , watoto wa class zote ukitokea tuu road unawapata bila shida.

Unavuta pis unazama nayo chemba . Wewe kazi yako ni kila kukicha unabadilisha tuu gheto hapo kwa hapo inategemea na unakaa muda gani.

Nzuri zaidi wana house-keeping wao ni boy flani hivi pisi sana , yani unaishi naye kama ndugu na sometime usipo angalia unaweza ukakaa hata mwezi pale ukidhania uko kwako kumbe hela zina katika.

Kwa nyuma kule kuna vibench vya kufanyia home work ya kazini bila bugudha ukichoka unaenda mliman city kuosha macho unarudi zako na mtoto mzuri uliye vuna huko njiani..
 
Back
Top Bottom