tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wakuu hivi lodge zenye masharti kama haya zinapatikana wapi?
Hii ilinikuta Iringa Mjini miaka fulani. Ngoja niishie hapa.
Ni ushamba tu,Logde za taasi za kidini na sehemu za starehe maalumu kwa wale watu wa fungate
Kila kitu kina mipaka yake bwasheeNi ushamba tu
Kwa hiyo watu wanaoishi kama mume na mke bila cheti cha ndo inabidi waje na mashahidi au ??Kila kitu kina mipaka yake bwashee
Ndio hapo sasa🤔Kwa hiyo watu wanaoishi kama mume na mke bila cheti cha ndo inabidi waje na mashahidi au ??
Ipo moja pale kaliua nilipita kitambo sana masharti yake kama hayo
Zipo mkuu, Iringa Kulikuwa na Best lwangiro lodge,sijui kwa Sasa,itigi mission Lodge nk
Tanzania saa nyingine kuna ujima sana wa kidiniImagine kujieleza kwa receptionist aelewe kwamba mimi nilioa Kimila. Sina ndoa ya dini na tamaduni ya wazungu au waarabu.